@hawaronaldo45: Chia seeds #creatorsearchinsights #fyp #foryou #foryoupage #fyppppppppppppppppppppppp

hawaronaldo45
hawaronaldo45
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 26 December 2025 11:52:02 GMT
160726
5459
209
287

Music

Download

Comments

tiktolastborn
lastborn ♥️ :
juzi nlikunywa izi sema kutapika adi ubongo😂😂😂😂😂znakaa watoto w chura😂😂😂
2025-12-26 15:34:58
39
babeisher2001
Mrs G 😍🫶 :
looooooh nililoweka na hayo maganda ya limao uchungu kama sumu😂😂😂😂😂😂😂😂😂Bora ya kukamua maji yake
2025-12-26 12:55:54
7
fawwadhimtorogmail
[email protected] :
KIPENZ HII KITU NATUMIA LEO NNA WEEK MATOKEO NIMEANZA KUONA KIUKWELI
2025-12-28 09:35:05
4
momo_collection_store
Momo na biashara zake :
Nikikunywa juzi tumbo liliuma kama nimekula mende😂😂😂
2026-01-21 19:54:19
6
umeyr_alaiya
Umeyr_Alaiya :
sorry habbty hii inapunguza uzito au ipunguza mwili
2025-12-26 18:06:32
6
swabby_s
swabby :
inasaidia nini
2025-12-26 13:05:17
0
tumereney0
it's_Irene😉 :
wameza hizo vitu ama maji tu
2025-12-26 12:24:31
2
ashleytz68
Madam Shuu💕 :
Inasaidia nn da hawa
2025-12-26 12:03:38
0
sagacious.brillia
sagacious brilliant :
hii inaondoa kitambi au ni mwili mzm
2025-12-26 20:14:09
1
nasramchora8
Nasra Mchora♋️ :
hawa nazipataje
2025-12-29 12:48:50
0
nasama031
Nasma♥️💸$ :
unakunywa na hizo mbegu?
2025-12-26 16:56:28
0
faay717
️ فاطمة :
I have been using for 2 days and I totally lost appetite....I stayed the whole day without eating
2026-01-04 18:54:46
1
giraffe_helen94
giraffe_helen94 :
2025-12-26 13:08:33
15
user8462342177711
Black sweet 💞 :
naomba kuuliza unakunywa maji tu au na mbegu
2025-12-26 19:54:23
0
user3123498197253
Glove💕💕 :
Sorry mjamzito anaweza kutumia ili apungue na haileti shida kwa mimba ??
2025-12-27 05:53:52
0
datty.jewels
Datty Jewels 🦋🦋 :
unanunua wapi dear hizo chia seeds
2025-12-26 14:55:45
0
zainabukwata
zainabukwata :
weeee🤗🤗🤗iyo mie nilisaga kitunguu maji na nanasi nikaweka iyo vidude niulize kilichonitokea 😂😂😂😂😂😂uwiiiiii yaani mmmmmmhh
2026-01-22 14:14:23
1
annabashir3
Annah♊555🧿 :
ilo tango,limao,chia seed mtu utakonda hadi ushangae..mie nimeacha napenda kuwa na nyama🥰
2025-12-28 18:28:32
0
rladhia
Nuhriaty🦋 :
Inasaidia nin habibty
2025-12-26 11:55:53
0
missmasalu7
miss masalu :
mm nishaochoka ku comment maana sijibiwi😭
2026-01-04 16:57:40
0
msflower766
flower 💋🧸 :
Hawa nilikua nakuangalia nione unazipikaje😆hongera lakin umejitahidi kuzipamba 🤣🤣I will pass lakn🥲
2025-12-26 13:53:53
0
official.lucy050
official lucy :
wa mbeya naipata wap?
2025-12-26 12:32:27
2
happy.shungu
furaha ali :
maji bari ama vuguvugu
2025-12-26 12:34:31
0
hawa.china
Hawa china :
kipenz unaloweka mda gani
2025-12-26 13:23:04
0
To see more videos from user @hawaronaldo45, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About