@beya.na.watoto: #usa🇺🇸#canada_life🇨🇦 #congo #kenyantiktok🇰🇪 #suluhisho kwa magonjwa ya watoto

dr beya na watoto
dr beya na watoto
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 29 December 2025 10:13:40 GMT
213193
2709
86
273

Music

Download

Comments

ms_msangi5
Ms_msangi :
miezi 6 yote hiyo 😅😅wangu miezi 3 tu
2026-01-02 12:51:38
5
caren0919
caren :
myezi mitano nimpe nn
2026-01-17 10:29:09
2
eunicedecute
Cõmföřť❤️✨️ :
mwanangu mm hapendi kula nifanyaje ??
2026-01-01 20:25:46
3
user7957422386237
user7957422386237 :
ndzi ya kuiva au mbichi
2026-01-08 14:21:20
2
officia_roshniyuui
official Roshni :
Wangu hawezi kula nimejaribu lakini wapi amezoea kunyonya na serelac tu
2026-01-03 05:57:58
1
user2344123901968
georgine valyaghe :
tufundishe ku tengeneza uji wa ndizi
2026-01-16 06:46:22
3
jadlty
jadlty :
wa mwaka anafaa kutumia hiyo
2026-01-08 16:59:40
0
tzontanzania0
TZ On 🥸🐻‍❄ :
je miezi tisa kipenzi ni uji wa aina gani nitumie
2026-01-29 15:27:27
1
shinna157
user4995386149688 :
mtoi wangu ako 1 yr 6kg
2026-01-05 09:50:33
0
mche.mudzo5
sally mbeyu :
mm sipendi mtoto kibonge🤣🤣🤣
2026-01-03 17:47:01
1
emmilianabakari
emmilianabakari :
Mwanangu hataki chakula kabisaa, akiona bakuli ya chakula analia balaa.
2026-01-06 10:05:25
0
user4533197944723
leticia :
uji wa ndizi unasag kweny brand
2026-01-04 11:21:23
0
racheljacksonyaju
Rachel Jackson :
ndiziyakuiva unachanga amonini yopeke dada
2026-01-02 18:00:50
0
elivia.emmanuel
Elivia Emmanuel :
jamani mependa ulivimfanyia ishara ya msalaba
2026-01-04 20:41:42
1
user3347617124833
miss Juma :
Yani nikizaa tu,baada ya kutoka Kwa hospital nakapa maziwa spesho ya watoto,nishachoka kukesha ucku kisa mtoto ashibi.
2026-01-05 16:04:01
0
ester_mayaofficial
ester_mayaofficial :
jaman wangu hala hata upike vip nimempa dawa ila bado nifanye nn ss
2026-01-02 20:07:35
0
mamuandrea0
mamuandrea :
naona miez tu wa kwanzia mwaka chakula Chao uposti????
2026-01-06 14:51:20
1
user6388672355120
Farhen Moh'd :
mwanangu ana miezi 9 hataki kula nifanyej hat kusot hahasira
2026-01-26 08:35:10
0
rosegeofrey4
rose Geofrey :
mwanangu ana miezi mitano naweza kumuanzishia huu uju
2026-01-22 19:09:04
0
mayra6623
Mayra :
unachemsha kwa mda gani
2026-01-24 13:03:52
0
yusufumatari115
nancy :
unatumiy mchanganyiko gan kweny uwo uji nielekez plz
2026-03-06 10:23:22
0
veronikaandrew942
Veronika Andrew :
jamani chakwangu nikembamba nifanyaje
2026-02-04 12:25:44
0
monica62667
monica :
hiyo ni ndizi peke yake mwanangu vitu vya sukari sana hapendi nifanyeje
2026-02-09 03:26:39
0
mamuseif212
Mamu Seiftiktok.com/@mamuseif2 :
wangu miezi 5
2026-02-26 11:08:20
0
user3729203329071
Trinity :
hiyo ndz naichemsha pia?
2026-01-03 09:46:51
0
To see more videos from user @beya.na.watoto, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About