@punguza.uzito.na.k: Mazoezi ni zawadi unayojipa mwenyewe, Anza taratibu lakini usichoke uchovu ni wa muda matokeo ni yakudumu. Kila jasho lina hesabu endelea, jasho la leo ni tabasamu la kesho, Hakuna shortcut ya mwili mzuri.Kuna mazoezi na kubalance mlo pamoja na bidhaa asili. #tiktok #trendingreels #viral #trendingvideo #trend