@aysaaa547:

Aysa
Aysa
Open In TikTok:
Region: IR
Monday 29 December 2025 21:11:36 GMT
284
24
2
1

Music

Download

Comments

yoyi48668
Rodrigo_Fabian :
💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖😆😆😆
2025-12-30 01:40:58
1
userzdar2inv7l
B i l a l :
❤️❤️❤️
2025-12-30 02:42:09
1
To see more videos from user @aysaaa547, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Naomba nirekebishe jambo moja muhimu. Kwa bahati mbaya, hoja unayoizungumza leo ni hoja ambayo uliianza tangu mwanzo. Hata sasa unajaribu kuonyesha kana kwamba mjadala ulianza baada ya Simba kupost clip husika. Hapana. Post yako ya kwanza haikulenga Simba. Haikulenga aliyesambaza mahojiano. Ilienda moja kwa moja kwangu kama mwandishi wa habari na kwenye taaluma yangu. Ulisema mwandishi amepewa nafasi ya kumuhoji Rio Ferdinand halafu akauliza maswali yasiyostahili. Hiyo ndiyo ilikuwa hoja yako ya mwanzo. Mimi ni mwandishi wa habari. Kazi yangu ni kuhoji. Leo nikiwa XXL ninaweza nikamhoji Harmonize. Nikamuuliza maswali mbalimbali kulingana na muktadha wa mahojiano. Baada ya hapo, timu ya Harmonize inaweza kuamua kuchukua kipande cha mahojiano na kukipost. Huo ni uamuzi wao. Lakini kama kuna mtu hataridhishwa na swali nililouliza, jambo la kwanza anatakiwa kulijadili ni swali lenyewe au muktadha wake, si kumshambulia mwandishi aliyekuwa anafanya kazi yake. Ndiyo maana nashangaa kuona lawama zikielekezwa kwa mtu aliyekuwa kazini, kwenye assignment yake, akitumia dakika chache alizopewa kuuliza maswali mbalimbali kwa mgeni wa kimataifa. Nilipata nafasi ya kumuhoji Rio Ferdinand kwa dakika chache tu. Ndani ya muda huo tulizungumzia mada nyingi tofauti; soka, burudani, matukio ya wakati huo na masuala yanayowagusa vijana. Huo ndio ulikuwa mwelekeo wa mahojiano yote. Ukosoaji ni jambo la kawaida. Lakini ukosoaji unapohama kutoka kwenye hoja na kuhamia kwa mtu binafsi na taaluma yake, hapo tunakuwa hatuzungumzi tena kuhusu interview. Tunakuwa tunazungumzia mtu. Mimi nitaendelea kufanya kazi yangu. Nitaendelea kuhoji. Hiyo ndiyo taaluma niliyoichagua, na hiyo ndiyo wajibu wangu kwa hadhira ninayoitumikia. #trend #10empireTv #tanzani #millardayo #video

About