@swahili_kitchen: Muhogo wa Nazi 😋😋😋😋. Ukipatia nimeweka tui ngapi unapata bando ya 10k😝 #swahilitiktok #fyp #swahilifood #swahiliculture #tanzaniantiktok🇹🇿

Ayam❤️
Ayam❤️
Open In TikTok:
Region: AU
Tuesday 30 December 2025 00:30:54 GMT
833151
18895
492
885

Music

Download

Comments

official_tee7
Tee_Omalicha 🧸🌸🍂 :
Me naumwa mama kasema uniwekee kidogo😩
2025-12-31 03:55:03
297
salmasaid3849
Allah Karrim :
Wapemba muhogo hatuweki kitunguu bali tunamiminia supu ya samaki safi kabisa
2026-01-01 16:24:48
190
hafswakaley
Hafsa :
waona muhogo original.tui na chumming only hakuna ma royco sijui curry powder na dania😂😂😂
2025-12-30 13:12:27
102
answar007
anapnaho :
Muhogo tunachemsha kwanza ssi wazanzibari alafu ndio kutia nazi
2026-01-23 10:47:09
22
dhulqf
user4779430252889 :
wadigo hoyeeeeee 😆😆😆😆
2025-12-31 11:28:28
24
charles.mgaya
Charles Mgaya :
Nyama kilo 2 amekua simbaaa 👌
2026-01-22 17:33:56
20
malkia.wa.kajo
Malkia wa kajo house of beauty :
Anayetaka kuniuwa aniwekee sumu kwenye chakula hiki… nimeumaliza mwendo
2025-12-30 11:38:09
27
chabby336
Chabby hers3lf :
daah muhogo una unga hadi raha
2025-12-30 09:14:16
18
lovelymathias1
Soul :
Naomba kidogo 😢
2026-01-01 14:58:53
6
user70273249053916
jb :
hapa ungeogeza thomu na boga ingekua shega
2025-12-31 07:52:51
9
mamytuni761
Mamy Tuni :
sasa huu ndo mhogo mwenywe siyo ule wakutiwa carrot hoho dania njegere ni kma mtu yuwapika vegetable cassava 🤣🤣🤣
2025-12-31 08:40:53
9
sozjr6
sozjr6 :
Naniwingine anajua kupika hivi nije nimchumbie😂😂😂😎
2026-01-24 08:33:16
1
shakila.mum.manen
Shakila Mum Manenoz :
kitu shata shata hadi umenitamanisha Ma shaa Allah TabarakaAllah
2025-12-30 11:44:47
5
mrsbaqir4050
mrsbaqir4050 :
tui 4 kitu shatashata👌
2025-12-30 07:23:38
15
user4814155744745
user4814155744745 :
mwenzenu mjamzito huku mate yanidondoka🤣😂😂😂naomba japo kipande kimoja🤣🤣🤣
2025-12-30 08:30:52
6
user8674782134962
user8674782134962stressyanini :
😂😂😂😂hebu weka kapapa mdani alafu na chai ya mzumaaa
2025-12-30 17:00:31
9
.luqman03
لقمان الحكيم857 :
Hapo kwanyumban tunaongeza supu ya samaki 😋😋😋😋
2025-12-31 20:02:16
9
zaynabgulam
Zaynab Abbaya 🦋 :
uwii mashaAllah😋😋😋🥰🥰hili sasa ndio hogo la nazii haswa👌
2025-12-31 05:56:33
5
nizar_bensasalamoody
Albensa :
nazi wapata bure😂😂😂👌
2025-12-30 11:12:59
2
sadam.issa97
Sadam Issa :
apa ukila ndani ya wiki ivi muda wote unatombana kama kuku😂🤣🤣
2026-02-08 13:44:33
0
hamid.abdallah78
Hamid Abdallah :
naomba kuuliza jmny hivi tui ndo maziwa au
2026-01-01 01:29:34
1
fatty.baby0
Tanga girl :
muhongo robo naz 50 oiii mate yananitoka MashaAllah na jiko unaliweza
2025-12-30 16:14:19
1
annamatthew4
Binti Matthew 🎯❣️🕊️🦋 :
hapo naona tui nne kabisaa ☺️
2025-12-30 11:07:55
3
innah306
Innah💕 :
Silagi mihogo zaidi ile iliyokaangwa lakini hii nitakula😂
2026-03-03 11:41:28
2
habubu34
Habubu :
waah hapo umecheza na nazi mashl🤣
2025-12-30 12:04:58
2
To see more videos from user @swahili_kitchen, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About