Ushamba noma sana Yani jamaa na ujanja wote Leo kazibitisha ni mshamba kweli
2026-01-27 05:16:01
1
Dan :
ulaya hamnaga watu siku hizi
2026-02-09 12:52:11
1
Ubain PPC DRC :
nipe kazi mwa iyo gym cheyf yangu
2026-02-26 21:42:21
0
jeffking cb☝ :
Hilo bomu kimbia
2025-12-31 16:24:58
3
Mary kivuyo :
ni changu mm nilikidosha nikiwa kwenye ndege
2025-12-30 14:14:18
3
Said Abdulkadir693 :
hii ni mini radio portable
2025-12-30 10:12:33
2
cool blue :
uliza mizimu
2025-12-31 04:58:10
2
salah king khan :
hahah wew ni mganga alaf unaogopa jamnnn 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-01-02 10:12:44
1
Muzungu bakari Tanzania :
kwamakini
2025-12-30 08:12:24
1
Joseph Msagati :
ndugu usikiguse nakijua hicho ukigusatu utajikuta upo kisalawe
2025-12-31 12:42:28
1
Djay Eddie :
uko jùu bro
2026-01-01 09:48:41
1
maryanahmed5963 :
muoga kama nini siuguse au umwagie hiyo kahawa tuonae kinaeza kukujibu
2026-01-01 12:53:59
1
official tunkoeta🤑🥀🔞 :
Usikisogereee wara kukusa ujue tutakupoteza mtot wa mwandambo🤣😂😂
2025-12-30 22:18:43
1
user47652708737144 :
muulize chatgpt 😂😂😂
2025-12-30 18:53:35
1
🦋Tina🥰🦋 :
Achan nacho kisije kikakuretea matatizo
2025-12-30 17:00:52
1
Naima moshi :
achana nacho😂
2025-12-30 15:46:08
1
Lucy Wambui :
number
2026-01-02 17:29:58
1
amina :
mbona kama amefanana na mwandambo
2025-12-30 12:45:02
1
mwanabeib :
😂😂😂
2026-02-23 14:48:55
1
BILA KUCHOKA 💪🏽 :
Hahaha kimeandikwa scan isije ikawa balaa kaka😂
2025-12-30 13:08:31
1
AishaKawisa :
bom ilo
2026-01-11 18:06:51
1
Rehema Kibonya :
mganga awe ivo bna nakkubalisan
2026-02-03 12:42:55
0
Moraka :
Utakuja shika bomu.
2026-01-17 16:19:46
0
MKINGA 7 :
Umesema Kutunisha Mifuli😂
2026-01-29 19:58:56
0
MKINGA 7 :
Icho kibomu nibebee mimi Ukija
2026-01-29 20:00:17
0
Flagonaire :
Huo Ni msekure wa kizungu,,
2026-02-02 15:02:12
0
pretty gwl :
wangopa🤣🤣😂😂😂😂
2026-01-01 00:08:44
0
Joel Mgema :
😳😳😳
2026-02-20 10:56:57
0
Saida Foum :
Gusa uripuke ni bomu ilo
2026-02-21 20:34:32
0
queen 👸 1 :
wewe si mganga unaogopa nn
2026-01-03 14:47:49
0
queen 👸 1 :
toy ya watt redio😂😂😂
2026-01-03 14:47:07
0
user6653218170915 :
ww itakuwa mganga wa mchongo
2025-12-30 12:58:26
0
Esha Herman :
Ungegeuza tuone kwa nyuma
2025-12-31 19:50:39
0
asalo :
Huliza mzimu
2025-12-31 07:41:42
0
tilishekhe kassimu :
limoti ya bomu
2025-12-30 12:02:59
0
Mhogomchungu :
just a toy..
2025-12-31 00:40:16
0
Dickson Sammy :
😂😂😂😂 Mini Auto Scan Radio).
Hii ni aina ya redio iliyokuwa maarufu sana miaka ya nyuma, hasa kama kifaa rahisi na cha bei nafuu cha kusikilizia matangazo ya FM.
2025-12-30 22:30:58
0
Stephen Munisi :
Na sumbuliwa na Sukari mkuu utanisaidiaje
2025-12-30 17:01:29
0
Ayoub J :
Hivi huyu anakaa mlevi wa chang'aaa🤣🤣
2025-12-30 15:08:55
0
tatestive, :
si wewe ni mganga 😂😂🤣🤣
2025-12-30 13:42:06
0
tropical🇹🇿🇶🇦 :
😂😂😂
2025-12-30 13:14:17
0
ali mvungi :
kwani hicho kitu chenyewe kinasemaje
2025-12-30 13:06:49
0
To see more videos from user @dr.manyaunyau.usa, please go to the Tikwm
homepage.