@scopebongo: Irene Uwoya ameeleza kuwa yeye ndio sababu ya ndoa yake na Mwanasoka Suleiman Ndikumana kuvunjika akieleza kuwa wakati huo alikuwa na mambo mengi ya ujana. Time Flies....! #ScopeBongo

Scope Bongo
Scope Bongo
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 31 December 2025 09:33:51 GMT
767584
24896
304
745

Music

Download

Comments

goldbiey
Jadot Biey v.i.p :
Pole sana na dhani hadi apo Ndikumana kaku sameh 😢
2026-01-02 13:04:36
19
cutevanilah1
cute vanilah :
hee😳miaka 22 unasema ulikua mtoto mwenzio nliolewa nna miaka 16 na mpaka leo nipo kwenye ndoa...sema tu tamaa uliziendekeza
2025-12-31 20:02:50
119
fabian.charles32
Fabian Charles :
Malaya nimwepesi kulia
2025-12-31 20:33:24
36
husseinjaffar999
husseinjaffar999 :
Irene I love u from the bottom of my heart
2026-01-01 15:07:00
4
user2671278654181
Ibra :
Shida ni huyo jamaa alimpenda sana mwanamke ukimpenda sana lazima atafanya ushenzi
2026-01-01 04:31:47
43
al6007457
shayo :
nimelitafuta ilo lakujifunza nimekosa😂
2025-12-31 20:20:28
61
manotitheefelebke
pochinene :
Kwani huyu jamaa alikufa ama Yuko hai??
2025-12-31 21:42:21
6
elisabeth.jesus8
Elisabeth Jesus :
Nime kumbuka ex wangu ambea alikua ni penda sana na niko2éme secondari 😭
2025-12-31 21:38:48
7
zwahama
Lost59 :
Majuto ni mjukuu!
2025-12-31 20:28:46
13
hasheem_mavitambaa_tz
Hasheem_Mavitambaa_fashion :
Umalaya nooma sana
2025-12-31 13:52:10
15
saidiyasinichitaw
side boy :
tapeli huyu
2026-01-01 06:20:53
15
abdulhalim.ali4
ABDULHALIM ALI :
wanawake ni wanafik
2026-01-01 00:19:53
3
user59773742773494
ALI MKUNGA :
nawaona mashangazi wa bongo 🤣🤣🤣🤣🤣
2025-12-31 20:00:44
10
suzannemichael9
Suzanne Michael9 :
ila bongo move 😂
2025-12-31 19:36:48
7
groly57
groly57 :
makubwaaa
2026-01-02 15:17:19
3
grasetoastythomas
Neema :
unampenda bado maskini yuko kama mimi
2025-12-31 17:10:03
5
user4251192409543
mama lamar :
nyegee tu uyoo🤣🤣
2025-12-31 17:07:08
7
godwin007l
godwin l l :
sababu wachezaji wa mpira wanajuwa kupenda sana🥰🥰
2025-12-31 17:49:35
9
rose.kokureba
Rose Kokureba :
majutto ni mjuuukuuu, pole sanaa.
2025-12-31 19:59:52
5
user19576143938131
maombi :
kabisa unazungumuza ukweli juu nilikuona kwenye mazishi yake rwanda ndikumana angekuwa jamani asikiye maneno haya😭😭😭😭
2026-01-01 05:40:03
6
cutesashah
sasha :
ladies let's learn to appreciate B4 it's too late..
2026-01-01 05:39:08
4
abdulhalim.ali4
ABDULHALIM ALI :
hata uongoze jiwe lita kufuta sio mwanamke haubadilikii
2026-01-01 00:20:23
3
nelsongerry209
NellyG :
Maongoo
2025-12-31 22:30:35
3
magreth7051
Tufugeme malolo :
ila huyu dada ameongea ukweli wake jamani
2026-01-03 11:11:29
4
ibugustavo3
🅘🅑🅤 🅶🆄🆂🆃🅰🆅🅾⚓⛵ :
ukwel ndiku alipendan na jini bila kujua🤣🤣
2026-01-01 12:29:43
4
To see more videos from user @scopebongo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About