@ujumbe_mzito: Happy New Year My lovely 🌹😍 # Tiktokshop#Views #Viral #fyp #foryou#foryoupage

Mr. ujumbe_mzito
Mr. ujumbe_mzito
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 31 December 2025 09:36:23 GMT
1544420
38878
368
28015

Music

Download

Comments

regina.daimon
Regina Daimon :
Ntakutumia mpenz wangu bdae lakin na hakika Na yeye atamtumia mpenz wake 😂😂😂
2025-12-31 11:52:46
58
ujumbe_mzito
Mr. ujumbe_mzito :
Niliyemtumia huu ujumbe ameniblock😀😀
2025-12-31 16:23:55
10
use90gdfry
good morning :
tulio wakumbuka wapenz wetu tulio achana tu juane🤦🤦
2025-12-31 19:29:53
20
shamsauser22799486232
mama hawa :
sisi yatima wa mapezi tukae wap
2025-12-31 12:37:43
5
user2210757980226
Florajoseph24 :
tunaoiba huu ujumbe tujuane😜
2025-12-31 12:12:37
27
rosemaryevarist30
Rosemary :
ujumbe nishapata wa kumtumia sina 😔😔
2025-12-31 13:08:58
8
user9166765742948
my love ❣️ :
nishapata kaujumbe kakumdanganya mtu😂😂
2025-12-31 19:03:08
3
its.doreen55
it's Doreen❤️🔐 :
aghaa nishapataa maneno ya kumtumiaa mpenz Wang badae😁
2025-12-31 11:41:00
7
mafiosos.lady
leen🥰🥰 :
kuna sisi 2navuka mwak 2kiwa single ni huzun😭😭😭
2025-12-31 18:25:16
6
user7358508394684
user7358508394684 :
oh no am sorry sipedi mtu waina yako am okay
2025-12-31 10:12:08
0
aminarashid301
𝘼𝙢𝙞𝙣𝙖💖𝙍𝙖𝙨𝙝𝙞𝙙 :
ujumbe huu nimeupokea ila niko single ❤❤
2025-12-31 13:28:57
3
user4335229815959
Grace G. :
niltamani nimtumie ujumbe huu ila ndoivo kazi ya mola haina makosa 💔
2025-12-31 22:08:32
1
nazarenaadiseni1
Tecla adisen🌹 :
Maneno nimepata bado huyo wa kumtumia
2026-01-01 18:40:15
0
loreen.alex
Loreen Alex :
Unaweza tuma kwa upendo wote ukajibiwa ok au nashukuru au asante yann mie roho iume bora nikae kimya 😅😅
2025-12-31 22:27:16
1
estherrubene
love life :
najikuta namfikilia mme wangu leo tunamwaka tumeachana daaaa bado nampenda sana ila daaah bs
2026-01-02 14:35:17
1
lean.g774
it's lean💞💞cut babe 😘 :
mmmmh kiukwel hay manen yanawafaa wa2 ambao wap kweny mahuxian but kw mm am singl xin kw xax 🤗🤗🤗
2026-01-03 19:29:14
1
user7926792411143
Shammy :
japo Sina mapez lkn nikisoma hizi ujumbe...nakuwa Na Imani ntapata
2026-01-02 17:11:14
1
ukhtymuu8
Maryam❤️ :
Mm nimekoma unamtumia mwenzio km hivo alafu yeye anaona km umekosa kaz ya kufanya akuu inahusu🙌🙌💔♥️happy new year wasoma comment ♥️😀
2026-01-01 05:52:04
3
liliandaud45
lily❤️❤️ :
guys mm nmeachwa leo sina hata wa kumtumia
2025-12-31 19:03:32
0
user528618399862brandina
brandina❤️ :
mm mkiwa jamani hata nikituma meseji hazijibiwa nampendaa😭😭
2025-12-31 11:14:10
0
user3130569880588
🌺lizy🌺 :
tatizo ana sim ndogo😔😔
2025-12-31 18:01:12
2
amdone_de_marcos7
amdone_de_marcos7 :
🤣🤣🤣😂 ila brooo 🤣kwann sas ume mramba block
2026-01-01 11:55:35
1
valeluanda
valeluanda :
aaante mume wangu nakupenda
2026-01-02 09:30:01
1
mahmoudhaji525
Algae jr :
nakubaliii broo
2026-01-01 04:41:20
1
phyllis.sinii
Phyllis sinii :
Heri walio na wapenzi mimi nimepata ujumbe ila wa kumtumia sina😂
2026-01-01 08:11:53
2
To see more videos from user @ujumbe_mzito, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About