@sasibuying_area: Ume-update iOS 26 tayari? Hizi ni njia inakufanya iPhone yako iwe smarter kuliko jana 👇 • Performance faster – hakuna lag • Battery optimization iko better • Security imeimarishwa, privacy iko juu • Camera & apps zina-run smooth zaidi iPhone yako ikishaanza kushindwa ku-update, hiyo ni sign ya upgrade time. Original iPhones zinapatikana Sasi Buying Area, warranty included. DM / WhatsApp uulize model inayokufaa.

Sasi Buying Area
Sasi Buying Area
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 31 December 2025 14:52:20 GMT
60459
1695
40
178

Music

Download

Comments

rbuza_0
✨Rbuza_ ✨ :
Nisaidie kupanga ma file kama yalivy kaa yko🥺🥺🥺
2025-12-31 18:29:41
1
dr.seifu36
Dr. Seifu👨🏼‍⚕️ :
Mm simu yangu toka nime update simu haziiingiii
2026-03-10 20:48:14
0
jtzsafaris
Jtz Safaris :
kwenye maongezi 26 kwenye lyrics imekuja 16😅 ila anyway nakukubali
2026-01-02 14:14:12
3
_curtisguntram76
mk🌴 :
Nimeupdate 26.5 kwenye 13 plain yangu haikubali kutoa mtandao siwezi kupiga wala kujiunga menyu kifurushi yoyote🫩
2026-06-03 17:59:57
1
fathy_m28
Fatima :
Naomba kujua iyo iOS saivi inafanya kazi vizuri naogopa kuiweka kwenye sim yangu
2026-01-01 13:56:50
1
jasmineaziel7
Jasmine aziel🦋🦋 :
Cm yang tangu nimeupdate inajizima kila muda cjui nifanye nn naomb msaada maan naangamia cm yang ni 11 plain🥹🥹
2026-02-19 21:24:48
1
_philmey
ice bar :
mbn me nime update na haisumbui
2026-06-08 17:41:58
1
misale_decor_design
misale_decor_design :
Je Niki update iOS 26 kwenye iPhone 11 pro haitasumbua
2026-03-13 10:26:00
0
zanzibar_play_station
☆•┈┈••••○○❁❁○○••••┈┈•☆ :
iPhone X inaingia iOS 18
2026-01-22 07:51:30
1
angel.rich04
Angel rich💃💃 :
Yangu Mimi nilivyo update tu iOS 26 camera ya mbele ovyo yn 😭
2026-02-28 04:34:49
0
mnyama_tyson
It's Tyson :
Je hiyo ios 26 inafunction pia kwenye iPhone 13….?
2025-12-31 19:49:43
2
hoodrickygram
hoodrickygram :
Kuna Ishu ambayo nashindwa kuelewa zamani ulikua ukisave number kwenye whatsap automatically inajisave kwenye phone book sahv haiwi hivo je kuna settings zozote za kufanya kusave whatsap number ukisave directly zijisave direct kwenye phone book?
2026-02-01 20:38:20
1
momyfahad1
Momy fahad💐 :
nimetaka ku update imeniletea ios26 direct vp hapo
2026-03-10 07:51:08
0
_x._innah96
Alnaaman :
Kwenye iPhone 11pm inafaaa
2026-07-17 15:24:40
0
user6249757738859
Justine :
Dah! Ahsante simu yangu imekuwa nyepes
2026-01-02 09:42:50
0
ndumilaa
ndumila :
Umesema iOS 26 imekuja 16 kwenye subtitles sis viziw umetuchanganya 😂😅🤣
2026-03-18 00:40:35
0
mr_uhakika7
Mr_Uhakika :
Boss nataka kuja Dukan nifanye Top up
2026-01-03 07:02:51
1
maasam3
maasam3 :
Mm mbona hiyo live voicemail kwenye simu yng haipo🥺
2026-01-01 15:57:16
0
shetani.wa.tiktok
👹SHETANI WA TIKTOK👹 :
Me nilivyo updat mbona simu nikikipig au nikipigia sauti haitoki mpaka niweke loadspeaker msaad plzz
2026-01-01 06:54:38
2
dulzoflex
dulzoflex :
Brh napend maelekz yako… bt unaelez opposite
2026-01-12 17:49:01
0
street_king_fashion35
STREET_KING_FASHION :
Na iCloud iligoma kungia na fanyaie
2025-12-31 20:50:42
0
kingaby_is_me
Crowned aby👑🎗️ :
Zawad yangu💔@Sasi Buying Area
2025-12-31 19:37:01
1
ibrahimbou001
Ibrahim Bou🌹🧢 :
😂😂😂
2026-01-01 21:31:48
1
judy288317
judy🦋 :
🥺🥺🥺
2026-01-27 09:10:28
0
stamina.castro
Stamina Castro :
😂😂😂
2026-02-07 10:14:25
0
To see more videos from user @sasibuying_area, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About