@zompahtz: USIOMBE IKUKUTE HII💔😭🙌🏾@RAJI #fypシ゚ #viral_video #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪 #tranding

ZOMPAH
ZOMPAH
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 01 January 2026 05:51:05 GMT
8312350
261450
4027
25319

Music

Download

Comments

user21227832786037
d pretty :
wale ambao bado tupo single tujuane kwa kuweka like apa
2026-01-01 21:42:37
1450
official.correta
official correta🎶 :
Ee mungu umenifikisha mwaka mwingine nakuomba unipatie mume mwema mwenye upendo wa dhati Amina
2026-01-01 08:01:15
1186
blessed_zeb
Zeb :
Mimi mkenya, Nataka marafiki wa Tz wanipe likes🥰
2026-01-01 10:27:34
653
fammeforte40
recho feure :
ambia tuna angalia ivideo Léo le 2/1/2026 tujuwane hapa
2026-01-02 13:45:55
130
use0619408707
scola john :
duuh eeh yesuuu uendelee kutupigania ktk maisha yetu mm na huyu anaesoma comment tufike mbali kimpango na mambo mengine ya kimaisha walind wazazi wang
2026-01-02 13:15:20
34
zanuraalli94
zanuraalli94 :
wengine wanapata wanaume waaminifu wanawachezea kweli hatufanani tabia mungu tusaidie
2026-02-04 08:36:22
33
ramadhanchelele
𝑴𝒓.𝑴𝒔𝒆𝒓𝒂 🛠️ :
mungu akupe maisha marefu unae soma coment ih
2026-01-24 10:24:26
23
estergodfrey823
zadory :
tuliokimbilia comment tujuanee
2026-01-11 15:15:42
5
shemezashemeza7
Shemeza Shemeza :
Emwenyezi mungu nakuomba Mme mwema namimi nimutii nimuheshimu InshaAllah🙏🙏🙏
2026-01-20 22:21:43
8
elia.fanueli
Elia Fanueli :
kama unaamini kuwa wameigiza like hapa
2026-01-21 14:06:25
13
teddyfaustin3
Bby T ❤️🥂 :
Tunao Angalia Jumamosi
2026-01-31 06:45:02
19
raphael.raphael438
Raphael Raphael :
Aseee nimeipenda Inyo japo 😂inauma sana ila umeuonesha umwamba
2026-02-02 09:12:57
5
grationmutafulwa
logee :
kidume uyu brother hakika. nimtu
2026-01-14 11:56:30
5
user13785023518527
Victony Soweto :
ambawo hatutaki kupenda tujuwane ap
2026-01-30 09:56:02
11
asengavicent
Asenga Vicent :
Ee mwenyeenzi MUNGU naomba unijaliye mwaka huu 2026 nipate mke mwema mwenye hofu na imani ya kweli Amina
2026-01-05 12:15:52
8
user457312860930
ismaili jr :
wanao sema hii inauma sana usiombe yakukute tujuane
2026-01-20 18:26:33
10
questions.about69
questions about :
mungu samehe wa dada kwa uongo😭
2026-01-13 12:05:11
6
user6596254123372
AUGUST :
tunaweza pata jina la hii movie's
2026-01-05 15:49:13
6
japhedavid
Japhe David :
wanaume tunapitia meng sanaaa🫡🫡🫡🫡🤔🤔🤔
2026-01-04 23:08:46
22
khadijamunga136
Godfever :
Eee Mungu nakuomba mwaka huu isiishe unibariki n mume mwema🙏🙏🙏
2026-01-01 09:05:11
186
muhindomanance
vivan :
Safi sana
2026-01-06 11:08:24
6
riziki3188
Riziki :
wenye tumezaa na hatutaki mahusiano wala ndoa gonga like apa💔💔💔
2026-01-02 17:37:30
386
ggg690250
Ang Eug Gen :
hii kituu inauma sana asikwambie mtu
2026-01-08 18:54:02
5
jiga_parker
Parker06 :
mwanmke anaekupenda kw dhati ni mama ako2 amini
2026-01-02 12:35:55
64
bonifacemwinuka
Boniface Mwinuka :
TABU YOTE YA NINI!?
2026-01-01 13:06:01
7
To see more videos from user @zompahtz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About