@hakikaruben:

Hakika Ruben
Hakika Ruben
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 02 January 2026 16:29:41 GMT
1308634
72041
1575
3411

Music

Download

Comments

jourge_himself
Gee_himself :
Mishe za kuzurula kama huyu mdudu😁
2026-01-03 00:11:51
764
baba.nashya
Baba Nashya :
hili nilakujifunza kiukweli tusioe wanawake wasiokua na kazi wakawa mzigokwetu.
2026-01-03 04:41:34
480
m3gan681
M3GAN :
kuma unamkubali uyu jamaa❤️tukisonga
2026-01-02 18:40:05
530
nemulo7
Rodjan Horse :
Huyu Jamaa huwa ana points sana katika Comedy zake
2026-01-31 04:44:13
166
ba.wamakida
Ba Wamakida :
unatafuta comment ya nan andika yako mbwa ww
2026-01-04 08:24:27
68
mkuuwakayatanzania
Mkuu Wa Kaya Tanzania :
Hii sio comed hili funzo la wazi kabisa
2026-01-26 10:40:54
142
m.u.b.a.333
Mpwani halisi03 :
Binti unashindwa kujieleza😂
2026-01-02 19:16:52
74
heischuga225
heischuga225 :
Nachoka mimi😁😁
2026-01-10 21:22:40
9
wizconzn
W.O.M :
ndo maana vijana tunaitaji baba kwenye maisha yetu safi sana
2026-01-03 06:13:48
65
makanda.mlenda.ka
Makanda Mlenda kalenga :
atuzungumzii upendo tunazungumzia future 🙌
2026-01-04 23:35:29
33
linnah950
lee@p :
Anjelika simfukwe 😀
2026-01-21 07:39:14
22
am_russlan_guy
The Russian Guy :
KAZI ZA HAPA NA PALE😂😂😂😂
2026-01-04 09:28:09
5
ibava96
Ibavaaddy :
Bro nimekukubal tukiwa na bro kama wew 10 tu wanawake wananyooka 😂😂😂😂😂
2026-01-03 05:38:04
36
johnny_joh05
Johnny :
Kabla hujafikiria kukata tamaa kwenye haya maisha.. Hebu angalia nywele zinazoota sehemu ya haja kubwa. Licha ya mazingira magumu, bado zinaendelea kukua.💪💪
2026-02-07 20:12:02
15
unbotheredandfavoured
Sarah :
ila huyu kaka Ruben ana busara sana
2026-01-05 05:46:59
18
tattie447
Tattie🦋 :
😂Simfukwe nmekukataa😁
2026-01-04 20:21:07
14
usertdadjpl45v
iddiamin dada :
kaka hakika mungu akup maisha malefu🙏
2026-01-05 22:49:14
15
goeffrey85
Yeah 031 :
wewe humjui hakika vizuli we dada......
2026-01-11 17:55:46
6
dr..mdigo
Dr. Mdigo :
Kuna cha kujifunza hapa
2026-01-05 07:14:39
28
chef.mpemba
chef mpemba :
semfukwe kachoka🤣🤣🤣
2026-01-03 09:15:44
74
_a.l.b.u.s.s.a.y.d_72
BIN_AHMED :
uyu mjinga maswali yake yanaboa😂😂😂
2026-01-03 05:12:51
21
user1207870292943
user1207870292943 :
hili begi linawez kukaa kweny kikao cha ukoo likatuliza gasia dadeki😂😂😂
2026-01-02 19:03:37
97
hemedymaita
Maita Wa Town💎 :
Nani mwengne kaona begi kama linechakaa kama mi🤭
2026-01-03 15:31:49
50
kabano.pro
Kabano1 :
michongo ndio, but michongo GANI?????🤔🤔
2026-01-02 21:20:17
15
nyangakimzalendo
Nyangaki mzalendo...🇹🇿 :
kumkataa ni sawa lakini the way walivyo mnyanyasa siyo sawa, yaan wamemtelekeza hapo kama hawamjui...😭
2026-02-03 08:13:16
14
To see more videos from user @hakikaruben, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About