@beya.na.watoto: Réponse à @khayshuu🦋🍭 #kenyantiktok🇰🇪 #canada🇨🇦 #usa🇺🇸 #tanzaniantiktok🇹🇿 #congolaise🇨🇩

dr beya na watoto
dr beya na watoto
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 04 January 2026 07:48:38 GMT
418537
5257
95
631

Music

Download

Comments

user5545266387380
catherine alphonce :
chakulaa cha miezi mnne
2026-01-04 13:16:42
2
ibrahimsylvester
Ibrahim Sylvester🧿 :
chakula cha mtoto wa miaka 3
2026-01-04 09:57:56
2
leila.ame.laila
uzahili :
mm mwangu apendi Kula jmn nisaidy
2026-01-21 12:39:11
2
agnesayanae180
Agnes Ayanae :
what if nko mahali siwezi pata mboga greens naweza mpea Nini instead?
2026-01-04 16:36:50
1
suryan033
surya🤍 :
hizo ni chainizi au?......
2026-01-04 11:06:58
0
mamu_collection_
mamu :
mm wangu miez Tisa hataki vitu vya kusaga Tena anataka sambusa , ugali,wali ,na matunda ,maziwa uji anatumia kidg sn
2026-01-16 09:33:38
3
ven82948
🥀unseen legend :
kuna kitu hunitatiza,chakula cha mtoto huwekwa chumvi docta?
2026-01-21 15:42:30
1
teeperss2
Teeperss :
😂😂😂😂😂alafu kuna mimi nilimpa hii na miezi sita
2026-01-04 17:59:50
3
nassaridelgeth
Delie💜 :
vipi kuhusu chumvi
2026-01-06 23:34:21
1
esther_8025
Esther _8025 :
jaman hiv n viaz vitamu vya kawaida au vile viaz lishe
2026-01-19 15:23:00
1
latifa.aweso
tiffah@aweso :
wangu ndo shda kula
2026-02-27 08:12:17
1
usermama_mtoro_catering4
Mama mtoro caterring 🍉🍇 :
mtoto wa miaka 2 je
2026-01-19 06:35:15
0
user8160105799614.manka
Manka :
muwe mnaweka na ladha tujuw n chumvi au sukal
2026-01-27 19:07:59
1
lizy3527
lizybeth :
Mimi mwanangu hapendi kula kabisaaa yani analia hatari
2026-01-26 17:27:26
1
user3908425477791
Vanessa :
Mtoto wa Miaka tatu apendi kule
2026-03-03 22:06:52
1
davine.kerry
Davine Kerry :
even pumpkin🥰🥰is gud
2026-01-22 11:13:58
1
azena96
Aze💫nath :
wangu hataki chakula na ni 1yr amepunguza kilo
2026-01-25 07:28:29
1
nyambura_09
☘ Nyambura ♡✿ :
mine eats what we eat😩
2026-01-06 02:08:36
3
iradukundajoshua70
jodiaaa :
chakula cha mtoto wa miezi 4
2026-01-04 15:46:39
0
berrywamboiberrygmail.c3
Sunshine 🌞 ☀️ :
ya mwaka na miezi saba
2026-01-06 10:40:27
1
irenemvungi
irene mvungi :
pls chakula cha mwaka na nusu
2026-01-04 11:36:30
2
cute.official55
cute@ official :
miaka mitatu please
2026-01-05 07:54:57
1
dodomama39
dodomama :
chakula cha mtoto wa mwaka+
2026-01-04 10:30:41
1
rahabujuma2
ZAWADI ya MUNGU :
mimi mtoto Anafunga myezi11 lakini anakataha chakula nisaidie nimpe nini ili anzekula please 🙏
2026-08-10 05:15:12
0
joyec625
joyec :
samahani hicho umetia Kwa kijiki ni nn
2026-01-04 12:38:48
0
To see more videos from user @beya.na.watoto, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About