dinozajm :
@dinozajm:ni wape pole wote ,,jaman ,sikuzote njia nyigine kuwa na aman nikumwacha m2 unayempenda ,,japo najua itauma siku ya kwanza ya pili hata miezi pia,,lkn IPO siku utayasahau yote make tume umbiwa kusahau ..kinacho uma kwenye mapenzi ,,ni vi2 viwili 2 ambavyo ,,,ni ,i) ni muda ii) moment unazo zikumbuka jitahidi kusahau na kufuta ushahidi wote milio Fanya pamoja ... nifollow upate ushauri zaid
2026-02-11 07:29:06