@sharif_asiyejulikana: Jifunze kuyatatua mambo kwa Busara. Si kila msumari suluhilsho lake ni nyundo. #tanzaniatiktok #tiktok #zanzibar #tiktokviral #tanzaniatiktok

Sharif Asiyejulikana
Sharif Asiyejulikana
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 05 January 2026 09:37:07 GMT
153368
4324
284
1425

Music

Download

Comments

dukalasameer_aliyaan7272
Duka La Sameer official :
kama ww pia umekimbilia comment 😁 pija upendo ♥
2026-01-05 15:21:50
148
anwardossa
anwardossa :
maneno yanaujumbe na nishacreen shoot ila jinsi ya kupost sasa ndo nashindwa😁😁
2026-01-05 17:47:20
50
mrshoney268
MRS HONEY :
🤣🤣🤣🤣umuue mbu kwa kofi kende lipate ugonjwa wa kifafa🤪
2026-01-05 16:10:15
44
sharley.ahserr
Sharley Ahserr💖🦋🦀 :
nyimbo na post ni mbigu na ardhi😅
2026-01-05 20:18:24
19
meddykhan6
Meddy khan :
hahahahah apo mbu anatolewa kwa kubembelezwa 😅😅😅🙌
2026-01-05 21:49:14
9
florawilly46183
florawilly :
😅😅😅unajua nacheka kwa nini
2026-01-05 16:46:03
4
__.ummukurthum
امي __. :
Ungewekea sauti ya bonyeza kende kendendee.. 🤣😂
2026-01-06 06:09:00
6
halimaaliy7
mimah 🇹🇿 :
sijuwi nacheka nini mimi shangazi yenu😂 msinifokee jamani nimemiss mama angu Tanzania 🇹🇿 😔
2026-01-05 16:51:51
6
ikramhemed
ikramhemed :
Badilisha mziki uweke Attaaasssaaa mana mziki hauendan na ujumbe😂😂😂😂😂
2026-01-06 02:10:59
2
shaban.muhammad37
Shaban Muhammad :
kwn kende nd nn
2026-02-06 08:27:27
1
fatema.hamad5
Fatema Hamad :
🤣🤣🤣🤣🤣ila waja daa
2026-02-08 12:40:42
1
mpiga_dili
Mpiga Dili :
usisahau Ngozi ya Kenge ikibanwa na Zipu, unatulia kama unategua Bomu
2026-02-05 13:10:17
2
rukayahson...12345
... :
kwann kende ety
2026-02-05 17:28:06
2
user1476692800792
inumus :
unyama
2026-02-04 21:52:26
1
adityaroykapoor00
Aditya Roy Kapoor :
hii nyimbo haiendan na kende😳
2026-02-04 18:59:20
1
zeeh.wa.mamy0
zeeh wa mamy :
😂😂😂kwnn iwe kende
2026-02-14 14:58:15
1
sammy.crown69
~sammy 👑 :
whatsapp status😂
2026-02-15 18:17:06
1
adam35697
@ Kondakta mstaafu :
😂😂😂😂mtazamaji Rudisha Meno ndani
2026-01-11 16:52:29
2
user564449431584
fanizlaita sadaam🇹🇿🇵🇸❤️🤍 :
ujumbe mzito huu 🤣🤣🤣🙌
2026-01-07 11:48:00
2
rajabkassim539
rajabkassim539 :
😅😅😅hii khatariii
2026-01-06 12:14:13
2
mjane.wa.ndoa
mjane wa ndoa :
duh ndio mwanzo leo tumefungu shule na misemo ni hiii.....
2026-01-05 12:51:15
3
naima_.001
inaya💗 :
Ila kweny kende sas jmn 😭😭
2026-01-09 17:01:26
1
allykidato
@King007 :
huo msemo upo kwa lugha ya kigeni kidogo ukipost mambo yabakua sio mengi😄
2026-01-12 14:57:04
1
el_papasito177
PAPASITO🍁 :
mbu anataka kulipuliza kende ndendende😂
2026-01-06 21:09:01
1
da.mtu6
❣️💯💯damii💯💯❣️ :
🤣🤣🤣🤣daaaaah
2026-01-06 11:11:14
1
To see more videos from user @sharif_asiyejulikana, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About