@coy_mzungu: Utuambie wewe,kazi uliyonayo unaweza kuiacha ili uingie kwenye betting?😂 @hanscana_ ni mfano mzuri wa mtu anayejiamini sana 🔥

@coy_mzungu
@coy_mzungu
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 05 January 2026 17:43:55 GMT
77369
4489
57
55

Music

Download

Comments

satinicrypto
Mikael Cassian :
jamaa ana control betting economy ni stakeholder na lakini kubwa ni mmiliki wa kampuni so maybe keka bet as company inamtengenezea hela nyingi zaidi ya directing
2026-01-18 10:12:28
15
lucky_mziwanda
Lucky mziwanda :
@Lucky 100%:naomba mnifollow jaman mwaka mzima nimepata followers 3 🤣🤣🤣
2026-01-06 22:15:18
18
mnyifuna_1
African HANDSOME :
Not necessary, unaweza ukafanya vyote lakini kamali sidhani kama ni halali
2026-03-06 21:48:04
3
jmax076
jmax76 :
sijui niache md nizame huko
2026-02-26 19:03:56
1
deeman_17
Dee_17 :
Hanscana anaenda na Progress. 😂 and he's very smart.
2026-01-14 21:44:05
7
joseph.athanas3
J :
forex
2026-01-28 17:38:31
1
saj85480
Saj8 :
betting ni kazi pia
2026-01-19 18:05:52
0
sunga_mwakisyala
it's mwakisyala🇹🇿🇺🇲 :
kama anapata hela sawa
2026-01-18 12:30:39
0
pettytz
Petty :
hahaha ila hans
2026-01-05 17:52:03
2
nalily.8
Travis :
20/20🔥🔥
2026-01-09 16:22:43
0
123000jingaboy
Hom boy :
Maisha ni kuchagua bro hat kuna siku unaweza kuacha comedy na ukafanya jambo lingne 💪
2026-01-10 21:55:34
8
chrianbana
Chrian bana :
yes i can
2026-01-23 08:30:43
1
cheselino
Gabriel Chesco :
mwamba yupo mbele ya muda kaona kabisa AI soon wanauwa industry ya directors🫡
2026-01-06 09:11:48
13
e.m.haule
Mr.Haule :
ngoja niwaelezee kitu.. assume umeajiriwa unalipwa 1.3 per mwezi so kwa miezi 12 ni 15.5M Ila ukiweka 1M kwenye odds 2.08 kila siku kwa mwezi una 30M Ila kiukweli uwezo kula kila siku so tufanye umekula siku 18 umeliwa siku 12 unakuwa na faida ya 18M ukitoa na Ile million uliyoiwe ni 17M per month kwa mwaka sasa!!!??
2026-01-06 14:04:35
6
txpopo6
TXPOPO💙 :
coy unazeeka uoe sasas
2026-01-06 09:16:38
4
adammax88
🕸️ADAM MAX88🕸️ :
Ikitokea umepata nafasi ya kukaa kiti kimoja na hascana jamaa ana madini mno na huto amin kam hujamsikiliza vzr
2026-01-12 01:21:35
2
jomesangombo
Jomesa Ng'ombo :
tunafanya kaz ili tupate pesa ya kubet ila sio Kila siku
2026-01-05 23:00:16
1
young.billionea
young billionea :
Bro kumbuka hanscan ana mtaji wa kubetti na aweki buku buku na kubetti ni mtaji
2026-01-24 06:11:46
1
ballopixel
Ballopixel :
si bet kila siku nabet jumatatu .j4.j5. alhman .ijumaa.jumamos.jumapil tu
2026-01-13 08:18:38
1
rajomsweet
rajomsweet :
Au ndio anapromote tangazo kwa style yake😅
2026-03-26 16:59:58
0
bunegefinest
Kelvin :
et j3 ,j4,j 5 , alhams, ijumaa,j moss na j pil😂😂😂
2026-02-24 19:50:41
0
ludzgamerz
LUDz Gaming :
ingia kwenye forex industry yenye mzunguko wa 7 trillion dollars kila siku, utakua na hiyo confidence ya kuongea hivyo mara 1000000x
2026-05-10 16:39:36
0
j2_berbarshop
Abdul♤♤♤$$$☆☆☆ :
siachi kaz nitabet apo apo kazn kwangu
2026-07-14 06:01:32
0
johnmzimbabwe
John Mzimbabwe :
msichokijua week ina siku 9
2026-07-15 10:54:34
0
boi_alone14
cancelo_chumvi14 :
sibet KILA siku😁
2026-01-27 11:09:10
0
To see more videos from user @coy_mzungu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About