@cold_fighterz: #Shara bullet #MMA #UFC # iPhone #wallpapers # Samsung #Dagestan

Cold_fighterz
Cold_fighterz
Open In TikTok:
Region: DE
Monday 05 January 2026 21:57:18 GMT
54211
1089
13
240

Music

Download

Comments

rxvdo777
𝔯𝔞𝔡𝔬𝔬 :
shara bullet from a water gun
2026-01-06 00:30:09
2
v_8to8
اندريس✌️🫂 :
👌
2026-04-14 20:16:14
5
slasher_r6
Slasher_R6 :
gracias 🔥
2026-06-22 00:42:16
1
aidan.doyle963
Aidan Doyle :
2026-07-01 21:04:18
0
aleksskardo
Алексей П290 :
вся Россия 🇷🇺 за тебя
2026-02-28 00:01:44
1
sali_5713
S_5713 :
@
2026-05-12 19:41:38
1
userxx_316
𝐬’ :
😍😍
2026-01-06 00:41:53
2
yo.gabson
ig:yo.gabson :
😁
2026-01-08 14:57:21
1
no_scope_santos
✝️🙏☝️ :
@💜soso💜
2026-01-15 19:44:32
1
ilss_75
ilss_7 :
@
2026-03-29 09:15:33
1
To see more videos from user @cold_fighterz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

📖 MASOMO YA MISA  JUMATATU, Julai 13, 2026 JUMA LA 15 LA MWAKA  A SOMO LA KWANZA  Isa 1:10–17 Lisikieni neno la Bwana, enyi waamuzi wa Sodoma; tegeni masikio msikie sheria ya Mungu wetu, enyi watu wa Gomora. Huu wingi wa sadaka zenu mnazonitolea una faida gani? Asema Bwana. Nimejaa mafuta ya kafara za kondoo waume, na mafuta ya wanyama walionona; nami siifurahii damu ya ng'ombe wala ya wana-kondoo wala ya mbuzi waume. Mjapo ili kuonekana mbele zangu, ni nani aliyetaka neno hili mikononi mwenu, kuzikanyaga nyua zangu? Msilete tena matoleo ya ubatili; uvumba ni chukizo kwangu; mwezi mpya na sabato, kuita makutano; siyawezi maovu hayo na makutano ya ibada. Sikukuu zenu za mwezi mpya na karamu zenu zilizoamriwa, nafsi yangu yazichukia; mambo hayo yanilemea; nimechoka kuyachukua. Nanyi mkunjuapo mikono yenu, nitaficha macho yangu nisiwaone; naam, mwombapo maombi mengi, sitasikia; mikono yenu imejaa damu. Jiosheni, jitakaseni; ondoeni uovu wa matendo yenu usiwe mbele za macho yangu; acheni kutenda mabaya; jifunzeni kutenda mema; takeni hukumu na haki; wasaidieni walioonewa; mpatieni yatima haki yake; mteteeni mjane. NENO LA BWANA. ...TUMSHUKURU MUNGU  WIMBO WA KATIKATI  Zab 50:8–9, 16–17, 21, 23 Sitakukemea kwa ajili ya dhabihu zako,
 Na kafara zako ziko mbele zangu daima.
 Sitatwaa ng’ombe katika nyumba yako,
 Wala beberu katika mazizi yako.  
 (K) Nitamwonyesha wokovu wa Mungu.
 
 Una nini wewe kuitangaza sharia yangu,
 Na kuliweka agano langu kinywani mwako?
 Maana wewe umechukia maonyo,
 Na kuyatupa maneno yangu nyuma yako.  
 (K) Nitamwonyesha wokovu wa Mungu.
 
 Ndivyo ulivyofanya, name nikanyamaza,
 Ukadhani ya kuwa Misri ni kama wewe.
 Atoaye ya kuwa Misri ni kama wewe.
 Atoaye dhabihu za kushukuru ndiye anayenitukuza.
 Nitamwonyeshsa wokovu wa Mungu.  
 (K) Nitamwonyesha wokovu wa Mungu. SHANGILIO  Zab 25:4, 5 Aleluya, aleluya,
 Ee Bwana unijulishe njia zako, unifundishe mapito yako.
 Aleluya. INJILI  Mt 10:34-11:1 Yesu aliwafundisha mitume wake: Msidhani ya kuwa nimekuja kuleta amani duniani; la! Sikuja kuleta amani, bali upanga. Kwa maana nalikuja kumfitini mtu na babaye, na binti na mamaye, na mkwe na mkwe mtu; na adui za mtu ni wale wa nyumbani mwake. Apendaye baba au mama kuliko mimi, hanistahili; wala apendaye mwana au binti kuliko mimi, hanistahili. Wala mtu asiyechukua msalaba wake akanifuata, hanistahili. Mwenye kuiona nafsi yake ataipoteza; naye mwenye kuipoteza nafsi yake kwa ajili yangu ataiona. Awapokeaye ninyi, anipokea mimi; naye anipokeaye mimi, ampokea yeye aliyenituma. Ampokeaye nabii kwa kuwa ni nabii, atapata thawabu ya nabii; naye ampokeaye mwenye haki kwa kuwa ni mwenye haki, atapata thawabu ya mwenye haki. Na mtu awaye yote atakayemnywesha mmojawapo wa wadogo hawa ngaa kikombe cha maji ya baridi, kwa kuwa ni mwanafunzi, amin, nawaambia, haitampotea kamwe thawabu yake. Ikawa Yesu alipokwisha kuwaagiza wanafunzi wake kumi na wawili, alitoka huko kwenda kufundisha na kuhubiri katika miji yao. NENO LA BWANA. ....SIFA KWAKO EE KRISTO
📖 MASOMO YA MISA JUMATATU, Julai 13, 2026 JUMA LA 15 LA MWAKA A SOMO LA KWANZA Isa 1:10–17 Lisikieni neno la Bwana, enyi waamuzi wa Sodoma; tegeni masikio msikie sheria ya Mungu wetu, enyi watu wa Gomora. Huu wingi wa sadaka zenu mnazonitolea una faida gani? Asema Bwana. Nimejaa mafuta ya kafara za kondoo waume, na mafuta ya wanyama walionona; nami siifurahii damu ya ng'ombe wala ya wana-kondoo wala ya mbuzi waume. Mjapo ili kuonekana mbele zangu, ni nani aliyetaka neno hili mikononi mwenu, kuzikanyaga nyua zangu? Msilete tena matoleo ya ubatili; uvumba ni chukizo kwangu; mwezi mpya na sabato, kuita makutano; siyawezi maovu hayo na makutano ya ibada. Sikukuu zenu za mwezi mpya na karamu zenu zilizoamriwa, nafsi yangu yazichukia; mambo hayo yanilemea; nimechoka kuyachukua. Nanyi mkunjuapo mikono yenu, nitaficha macho yangu nisiwaone; naam, mwombapo maombi mengi, sitasikia; mikono yenu imejaa damu. Jiosheni, jitakaseni; ondoeni uovu wa matendo yenu usiwe mbele za macho yangu; acheni kutenda mabaya; jifunzeni kutenda mema; takeni hukumu na haki; wasaidieni walioonewa; mpatieni yatima haki yake; mteteeni mjane. NENO LA BWANA. ...TUMSHUKURU MUNGU WIMBO WA KATIKATI Zab 50:8–9, 16–17, 21, 23 Sitakukemea kwa ajili ya dhabihu zako, Na kafara zako ziko mbele zangu daima. Sitatwaa ng’ombe katika nyumba yako, Wala beberu katika mazizi yako. (K) Nitamwonyesha wokovu wa Mungu. Una nini wewe kuitangaza sharia yangu, Na kuliweka agano langu kinywani mwako? Maana wewe umechukia maonyo, Na kuyatupa maneno yangu nyuma yako. (K) Nitamwonyesha wokovu wa Mungu. Ndivyo ulivyofanya, name nikanyamaza, Ukadhani ya kuwa Misri ni kama wewe. Atoaye ya kuwa Misri ni kama wewe. Atoaye dhabihu za kushukuru ndiye anayenitukuza. Nitamwonyeshsa wokovu wa Mungu. (K) Nitamwonyesha wokovu wa Mungu. SHANGILIO Zab 25:4, 5 Aleluya, aleluya, Ee Bwana unijulishe njia zako, unifundishe mapito yako. Aleluya. INJILI Mt 10:34-11:1 Yesu aliwafundisha mitume wake: Msidhani ya kuwa nimekuja kuleta amani duniani; la! Sikuja kuleta amani, bali upanga. Kwa maana nalikuja kumfitini mtu na babaye, na binti na mamaye, na mkwe na mkwe mtu; na adui za mtu ni wale wa nyumbani mwake. Apendaye baba au mama kuliko mimi, hanistahili; wala apendaye mwana au binti kuliko mimi, hanistahili. Wala mtu asiyechukua msalaba wake akanifuata, hanistahili. Mwenye kuiona nafsi yake ataipoteza; naye mwenye kuipoteza nafsi yake kwa ajili yangu ataiona. Awapokeaye ninyi, anipokea mimi; naye anipokeaye mimi, ampokea yeye aliyenituma. Ampokeaye nabii kwa kuwa ni nabii, atapata thawabu ya nabii; naye ampokeaye mwenye haki kwa kuwa ni mwenye haki, atapata thawabu ya mwenye haki. Na mtu awaye yote atakayemnywesha mmojawapo wa wadogo hawa ngaa kikombe cha maji ya baridi, kwa kuwa ni mwanafunzi, amin, nawaambia, haitampotea kamwe thawabu yake. Ikawa Yesu alipokwisha kuwaagiza wanafunzi wake kumi na wawili, alitoka huko kwenda kufundisha na kuhubiri katika miji yao. NENO LA BWANA. ....SIFA KWAKO EE KRISTO

About