mbn mm nmerudi Kwa period round y pili mwaezi mmoja ,ama hkuna shda
2026-02-16 17:02:28
5
🦋Cutepie🌸❤️🔥 :
Ndo ninachopitia mm saiv najihisii Nina mimba kabisaaa najuta kutumia p2 Ila sijapima naogopa ukute mimba kwelii🥺
2026-03-03 12:36:00
1
kechy :
Mimi nauliza aje MTU ukimeza p2 Na after hiyo uanze kuwa Na dalili za mimba shida inaeza kuwa gani aki
2026-02-06 09:33:10
3
Joyce :
🥰🥰🥰Happy new year sweetheart
2026-01-06 12:31:20
2
Roselly :
umesema siz
2026-02-18 10:02:50
1
Maria china :
sister mbona mimi matiti yanauma kabisa ka ninamimba na p imepitiliza
2026-03-04 16:21:39
1
Pretty Shillah :
wacha nicheke kwanza🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kama hujawahi tumia P2 usiwahi tumia🤣🤣🤣ety inaginga usipate ball ,sijui hata ball iliingia shot ya kwanza😅😅sijaheal bado first time na ikanidisapoint 🤣🤣🤣🤣
2026-03-06 21:31:34
0
madam boss :
nifanye nini
2026-01-18 12:08:42
0
LPM &DPM :
doctor iyo hali inanitesa sana yaani natafuta mtoto kwa mda mrefu sana nilitumia p2 2022 hapo nilipotumia tu mvulugiko wa hedhi ukaanza na Kuna mda
2026-03-24 08:37:57
2
mercyshiroo :
Mimi nilimeza na cjapata period zangu na cna mimba sasa nitafanya nini
2026-03-30 14:37:22
1
songhwa72 :
kwani unaweza kumeza p2 na ukapata mimba?
2026-02-20 18:58:41
1
ley de cute :
dada na mm naomba pleas nijibu eti ukitumia p2 ni kwa mwezi huo huo unakuwa unaona dalili za mimba au hadi miez ya mbele
2026-01-31 12:20:31
1
Flozzy Rioba07 :
Mimi matiti huuma uchungu sana
2026-03-11 20:13:16
1
PRINCE JAY FX📈📉💲 :
let them avoid it , na Kuna wenye wanaitwa town ladies wanakula kama njugu 😂😂😂😂
2026-01-08 08:57:30
2
Mrs mukaisi :
nilimeza p2 mwezi ikapita full bila kunyesha waah nq maritime nayo haitulii kuuma never
2026-01-21 11:03:24
2
Mungeresa clare :
vizuri sana kamama nilikuwa nimeruka period nikashtuka Bure
2026-01-18 15:31:06
1
Assylove💫♥️ :
mm nimemeza na nimepima imeonyesha namimb
2026-03-11 20:13:36
0
mamake❤️❤️ :
aki kaaa mm nlitumia na cjanyesha toka January 😭😭😭😭
2026-04-01 10:12:15
0
Winnie Ombogo :
na sa zikipotea period inaridi aje
2026-01-16 18:45:28
0
🦋T.y.l.e.r❤️🦋 :
wenye wamemeza 4 times mkuje mniambie experience 😭 I'm scared
2026-01-21 12:21:14
0
siphika 🥰 :
🥰
2026-01-08 08:42:18
3
Minaaa🥰🥰🥰470 :
🥰🥰🥰
2026-01-06 16:47:58
1
To see more videos from user @0796581182qeen, please go to the Tikwm
homepage.