@mozannah: Assalam alaykum guyss😍Haya tunaendelea na mapishi yetu😍Ramadhan hii wote tule vizuri inshaAllah🩷 Leo tupike Vilosa (vitumbua vya bnb) Mahitaji- unga wa ngano 2 cups Maziwa ya unga 1 cup Mayai 2 Sukari 1 tbspoon Chumvi 1/2 teaspoon Hamira 1 tbspoon Baking powder 1 teaspoon Vanilla kidogo & Hiliki Maji vikombe 2 na nusu angalia uzito usiwe mzito sana wala mwepesi. Uzito uwe kama katika video hapo😍 Ukiwa na pan ndogo zaidi inakuwa vizuri zaidi. Hatua nyingine zote fatisha katika video🩷 Shukraaan🩷

The homemade cook🧑🏼‍🍳
The homemade cook🧑🏼‍🍳
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 07 January 2026 17:54:42 GMT
163674
4434
117
1118

Music

Download

Comments

aishu6521
aishu6521 :
panakitu sijaelewa niunga wa mchele ao wa ngano?
2026-01-08 03:46:08
12
ayshajaffar4
ayshajaffar4 :
Bila kueka mchele ?
2026-02-19 11:46:01
1
some.ones_love
secret princess 👸 :
thnxs dear waeza kutumia maziwa fresh kama huna milk powder
2026-01-08 11:02:34
0
ltyy000
Alwaan cakes and bites :
yan vinaonekana ni vtamu sana hivi
2026-03-11 11:37:25
0
ninaskitchen24
ninaskitchen24 :
We’re can I get the pan you cooked with
2026-01-26 19:06:31
0
cutezed4
cutemama boy's :
Asante kwa kutupa ujuzi🥰🥰
2026-02-23 13:14:29
0
shuuh00
Shuuh :
Unasubr unga uumuke ndio unachoma?
2026-01-08 12:54:00
0
mamy11044
mamy :
Asante kipenzi nivitamu ivo
2026-01-09 15:44:20
0
baesally
baesally :
Mashallah mashallah😍😍
2026-01-08 04:43:20
0
user1582055675224
amina :
maasha Allah
2026-01-12 15:57:58
0
ruqayyahabdallah3
ruqayyah's.heenna&makeup arts :
maashallah maashallah umeweza kujifunza na vitumbua vzr na pia hongera sana
2026-01-21 09:26:41
2
nurat210
nurat 👌💃🏼 :
Mie kichwa maji acha nijalib🤣🤣🤣
2026-02-11 12:50:40
0
sakena614
Sakena :
unatumia unga gan mwaya
2026-01-08 15:52:48
0
lady.sharif
Lady Sharif :
naomba unitumie hii recipie wengine sikuona umetia nini pliz
2026-01-08 14:18:38
1
queenlama92
Queenlama :
Haya nimipika leo 🥰
2026-01-12 18:50:57
0
_s2ahn
_s2ahn :
mashaa ALLAH ❤❤❤❤
2026-02-07 15:29:54
0
mrs_asha83
mrs_asha83 :
Umenitamanisha dogo😋
2026-01-09 14:50:26
0
barkah5457
Barkah :
masha allah🥰
2026-01-08 16:08:39
0
lu.na.5
LUNA ⋆˚✿˖° :
MashaAllah lkn zinataste ka kaimati ?
2026-01-08 11:01:09
0
them_abc3
✰ :
What’s is the cardamom?
2026-01-08 13:24:57
0
fettynabahans
fettynabahans :
ni unga wa nn
2026-01-08 03:57:10
0
rosyella6
Rosyella :
unga ni gani
2026-01-08 04:05:33
0
houdhaam.salum.na
houdhaam salum nassor :
nisameh nilikua sijaona vipimo nimeshaona shukran
2026-01-08 16:10:43
0
latipha532
latipha🇰🇪 :
ni tam inaoyesha ila sukari mh
2026-01-08 05:50:30
0
houdhaam.salum.na
houdhaam salum nassor :
samahani huo unga ni wangano na vikombe vingapi
2026-01-08 16:07:08
0
To see more videos from user @mozannah, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About