@al.akhi.naasir7: Replying to @meba.collection YASIKUPITE HAYA

Al Akhi Naasir
Al Akhi Naasir
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 08 January 2026 10:19:59 GMT
219386
22968
541
1818

Music

Download

Comments

jasmin_sweetcake
jasmin_sweetcake :
Uislam raha sana, nashukuru Mungu nimezaliwa muislam
2026-01-08 17:14:22
274
octovio97
BINT HUSSEIN 🧕🕌🌙 :
Waarabu wanafungua mlango ndo wanagongo hakika wamenishinda tabia😔
2026-01-08 11:16:02
54
user78140356966296
matano :
mungu hana dini yoyote wacha ujinga dogo
2026-01-09 16:24:27
1
biimumwachadu
pashmina :
sheikh ww una mke
2026-01-08 14:23:35
8
mussaa47
membaa2 :
Waislamu takbirriiiii
2026-01-09 11:05:40
12
abuuh350
🕌Abuuh Mu$£!m🕋 :
maashaalah mwalim akhi Nasri jazzawah Khul kheiry
2026-01-08 11:03:48
16
mosesjovenar
Moses Jovenar :
Masharti yoote yanini ? UislM ni dini ya majini
2026-01-31 15:54:14
1
zuwenahassan98
zuwenahassan98 :
ninavyo penda kuchungulia ndo nibishe😂😂😂
2026-01-23 05:51:33
1
alfa_travis05
el_fantidø :
kwa hakika uislamu haujaacha kitu wallah . najivunia saaana kuwa muislamu wallah😘😘
2026-01-12 12:15:00
9
abdallah.doka
Abdallah Doka :
hakuna dini iliyokamilika kama uislamu ma Sha Allah ❤️❤️❤️❤️
2026-01-17 14:17:35
4
zafahnah
zakia fahnah 😘 :
Allah akujaalie kher kaka 🥰
2026-01-08 10:29:08
17
user2387819179261
Reagan baquan :
Sasa kama wana deni yangu nawana nizungusha
2026-01-08 17:26:16
2
mamyyussuf245
Rabia Mohammed245 :
Mashallah wewe ni madini ghali sana kushinda dhahabu Allah akuhifa dhi uzidi kutuelimisha
2026-01-21 09:28:46
4
twahirloufy
twahir03 :
shukran 🙏 sana
2026-02-07 15:35:50
1
swaumu.mamb
swaum mambo :
nashukuru kwa kunielimisha
2026-01-13 10:35:22
1
hud_hud88
Hud_Hud88 :
Hii inaendana na kupiga simu, mpigie mtu simu mara moja simu yake ina kioo itaonesha kama ulipiga...usipoge kama unadai pepo.!
2026-01-08 14:10:06
9
abdulabas522
Abdul Abas :
shehe wangu uliadimika sn ila Leo nimekuona mashallah tuendelee kujulishana mambo mema na kukatazana mabaya.
2026-01-08 16:32:58
5
chunaasalim
chunaa ❤️wa❤️ mamangu ❤️ :
cha muhimu zaidi ni KAA KWENU /KWAKO JUA KALI WENDA KWA WATU KUFANYA NINI😩😩😩😩
2026-01-09 08:08:14
6
kivurandeomary
kivurandeomary :
MAASHA ALLAH jazaka ALLAH kheira
2026-01-16 16:28:01
1
naseermhd
Naseer Mhd :
shkrani maalim Kwa darsa Allah barik
2026-02-16 18:22:16
1
user6882732445773
popo💕💕💕💕 :
Sio kwa wadigo akibisha ashaingia ndani🤣🤣🤣
2026-02-07 15:12:13
1
ashaselemani705
ashaselemani705 :
Mungu akupe umli mlefu
2026-01-20 07:59:10
1
hajiathumani7
hajiathumani546 :
mashaallah jamani uislam raha sana kama ukifuata mafundisho yake
2026-01-29 10:48:30
1
halal_muslim2
halal _Muslims :
nashkuru Kwa kukufollow faida kedekede Masha Allah
2026-03-26 16:05:35
1
dahar237
dahar :
nimependa ustadh ulipoifafanua surt kahf kisa cha dhurkarnaini
2026-01-19 08:15:45
2
To see more videos from user @al.akhi.naasir7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About