@bin_amourpolyclinic: Sababu kuu za tatizo la uzazi kwa mwanaume Mbegu za kiume (sperm) Mbegu chache (low sperm count) Mbegu dhaifu au hazitembei vizuri Mbegu zenye maumbo yasiyo ya kawaida Maambukizi na magonjwa Maambukizi ya zinaa (kama kisonono, kaswende, klamidia) Uvimbe wa korodani (orchitis), tezi dume (prostatitis) Matatizo baada ya UTI Matatizo ya homoni Upungufu wa homoni ya testosterone Matatizo ya tezi (pituitary/thyroid) Mishipa ya korodani (Varicocele) Mishipa kupanuka kwenye korodani → joto kuongezeka → kuharibu mbegu Mtindo wa maisha Uvutaji sigara, pombe kupita kiasi Dawa za kulevya Msongo wa mawazo Unene kupita kiasi Joto kali kwenye korodani Kukaa muda mrefu, kuendesha bodaboda kwa muda mrefu Kuvaa nguo zinazobana sana Dawa na kemikali Matumizi ya muda mrefu ya baadhi ya dawa (steroids, chemotherapy) Kufanya kazi maeneo yenye kemikali au mionzi Dalili za tatizo la uzazi kwa mwanaume Kukosa mimba kwa muda mrefu Maumivu au uvimbe kwenye korodani Hamu ya tendo la ndoa kupungua Shahawa chache au kubadilika rangi Matatizo ya kusimama au kumwaga. All in all karibu baba, kaka, mjomba, baba mdogo KUJITIBU.
abdulofficial
Region: TZ
Thursday 08 January 2026 13:36:30 GMT
Music
Download
Comments
Mohd omar :
Kwaiy
2026-06-13 15:27:20
0
To see more videos from user @bin_amourpolyclinic, please go to the Tikwm
homepage.