@clear_malisa: Unavyo Anza Mwaka, Tafuta siku moja ndani ya mwezi huu wa kwanza ukapokee baraka ya wazazi wako walio kuzaa kama bado wapo hai, peleka zawadi kisha wakutamkie neno..! Au Walezi wa ukoo wako na kisha baada ya hapo fika madhabahuni mwa Bwana ubarikiwe pia. Biblia Inasema, Mzee Isaka kama mzazi alitaka mwanae amletee zawadi ya chakula kisha aachilie mibaraka juu yake. Mwanzo 27:1-4 Ikawa Isaka alipokuwa mzee, na macho yake yamepofuka asione, akamwita Esau, mwanawe mkubwa, akamwambia, Mwanangu. Naye akamwitikia, Mimi hapa. Akasema, Tazama, sasa mimi nimekuwa mzee, wala sijui siku ya kufa kwangu. Basi, nakuomba, chukua mata yako, podo lako na upinde wako, ukaende nyikani uniwindie mawindo;ukanifanyie chakula kitamu namna ile niipendayo, ukaniletee, ili nile; na roho yangu ikubariki, kabla sijafa. #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniatiktok #tanzaniantiktok🇹🇿 #ugandatiktok🇺🇬

Prophet of destiny
Prophet of destiny
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 08 January 2026 20:44:17 GMT
89594
8975
206
716

Music

Download

Comments

vivanaminja
vivana :
Amen baba,kama mimi mama yangu nikiongea kitu kidogo amekuwa skinitamkia sina akili,,nafuta maneno ya ke kwa jina la Yesu
2026-01-09 01:45:30
5
user5437331220635
Ashley reiy ❤️❤️🌹 :
Amin
2026-04-03 21:03:43
0
stella.joseph865
Stella Joseph :
aminaa
2026-04-04 11:32:30
0
oldgodwindkey
red queen :
Pastor tunakupata wap kanisa liko wap hujaandika location
2026-02-18 06:56:49
1
estamahanga385
esta :
Asante mtumishi wa Mungu😭😭😭
2026-02-24 05:45:24
1
user5021928305940
user5021928305940 :
barikiwa mtumishi
2026-01-10 17:56:25
1
isabela_cosmetics1
Isabela_cosmetics1 :
watoto wangu watakuwa baraka
2026-02-26 13:28:09
1
veronicasecilia
Veronica Secilia :
Watoto wetu hawata feli natamka baraka kwa jina la yesu 🙏🙏🙏🙏
2026-02-28 04:49:40
1
salomelolusubilo
Salomelo Lusubilo :
Asante sana
2026-03-30 04:17:59
0
estermaranji
estermaranji :
sijazaa mapooza mungu bariki familia yangu
2026-03-12 19:09:55
1
user2361431909887
nice one :
una kitu kikubwa ndani yako dady Mungu akulinde
2026-01-09 05:28:39
1
user3810473655385
cliff :
mbona njiro uonekani Tena jamn
2026-01-09 08:39:20
0
matrida.january
Matrida January :
ameen
2026-03-23 19:08:05
0
isackchulla24
isack chulla24 :
ameniiii
2026-01-08 20:51:21
0
user7862965006036
official nickson :
Marisa
2026-01-08 20:49:26
1
deborah.shayo
Deborah Shayo :
Amen papa
2026-01-09 07:35:46
1
theholyspiri2004.com1
THE HOLY SPIRIT DIVINE DESTINY :
AMIN
2026-01-18 18:23:45
1
user5021928305940
user5021928305940 :
amen
2026-01-10 17:55:53
1
rubbyylvbk1
~AfricanQueen🇹🇿🇶🇦🇶🇦 :
Ameen 🙌 🙌🙌🙌🙏
2026-05-21 12:42:37
0
salmatrends_store
Salma Trends store :
Amina
2026-03-17 20:09:26
0
gejaruhodea1
Gejaru hodea :
Amina baba napokea Baraka ya madhabahuu kwa jina la yesuu🙏🙏🙏
2026-04-08 12:13:09
0
pendobenjamini
malaika,, :
amina
2026-03-23 15:49:27
0
dieumemerci7
user8290732294013 :
Amena
2026-03-23 10:33:45
0
user66794408106188
babe shuuu🧕🌹👑 :
amina
2026-03-18 17:45:25
0
ms.roggyog
@ms.roggy🦋og :
my dady ;;; my dady👌👌👌
2026-01-08 20:52:04
0
To see more videos from user @clear_malisa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About