@historical_zanzibar: Hem tujikumbushe maneno ya Dkt Shein mwaka 2018 kufuatia sintofahamu juu ya deni la umeme kwa Serikali ya Zanzibar toka Tanzania bara. #zanzibar #historical_zanzibar #historia #hotuba #tanzania FOLLOW @HISTORIZAN TV
Historical Zanzibar
Region: TZ
Thursday 08 January 2026 21:23:16 GMT
Music
Download
Comments
Kamazari :
Hatuja wahi kuwa na Raisi pimbi Zanzibar km huyu🤣🤣🤣
2026-01-09 09:44:48
160
nawwar sultwaan :
hii nikile kipindi ulipozimwa umeme Zanzibar muda wa miezi 3
2026-01-09 10:55:03
47
mulhat :
lazima tuamkee wazanzibar
2026-01-09 09:47:25
43
R10 :
Mzee umechezewa sana na wasaidizi wako wamwkudanganya sana ila fresh now tupo na kipenzi cha wazanzibar anaendelea kututumikia Dr Hussein Mwinyi ever
2026-01-09 06:12:39
15
Salim Alnadaby🇴🇲 :
huyu bure kabisa
2026-01-09 03:29:14
16
shanga said classic :
Allah amsamehe,, ila ndio rais mjinga wao kutoka kwa Zanzibar
2026-01-09 12:52:19
38
Abdallah Massoud :
lkn nahic hii habr ilikuwa sio 2018 nahic kweny 2013 or 2014 lkn sio kipind ch korona
2026-01-09 10:48:42
9
Buthaynah :
Maneno ya kiongozi jasiri kabisa ukiyapima unajua kiasi gani aliumia na kukemea kutishwa kma raisi
2026-01-09 11:13:36
32
Mohamed Alawy :
Ata mm Hapa Sheni Nilimkubali Alipiga Ki Diplomasia ❤❤
2026-01-09 13:07:05
12
kabonda88 :
mm huyu rais nilikua namkubali sana lakini huyu mwinyi mpeku anatupeleka mbio
2026-01-09 10:30:13
9
الشرفُ بالأدبِ لا بالنسبِ🇹🇿 :
huyu hapendi dharau haya uzimen kibatar anacho😂😂😂
2026-01-09 16:58:03
6
AnwarMohammed :
ni muungwana hataki vurgu na mtu .alaf zanzibar sio sehem ya kukaa tuakumiza kichwa kuhsu umeme
2026-01-09 10:19:45
14
mwiba :
iyo saundi na maneno vinatia simanz
2026-01-09 12:05:35
5
Binti Abdallh mohd :
naona Wana chelewa kuzima😏
2026-01-09 09:19:57
5
Young Boy :
I love my island
2026-02-11 05:22:40
2
Sheikh Mussa🌿 :
Njie Viongozi jielewen ivi sis hatuna vyanzo vya umeme kwel Zanzibar?
2026-01-09 15:33:06
6
nenda Salama 😄 😄 😄 :
free zanzibar
2026-01-09 02:22:11
16
abdulkareemaliyse :
mungu amuweke mama samia
2026-01-24 11:50:48
4
Bin :
ina sikitisha kweli Zanzibar fukwe zoote wanapewa wa wekezaji
2026-02-05 22:32:15
0
Jamal Nawed :
hili raisi lilikua jinga sana dah
2026-01-09 13:44:39
3
m,bobo kituda makunduchi :
HUYO NDO MWANA M.ME HATISHIWI
2026-01-09 17:27:38
3
حبيب سيف حمود Al mafaadhy :
abuu jehel wa zanzibar huyo
2026-01-10 11:17:31
3
Ismail Adenrage :
huyu ndio rais aliefanya utalii ukuwe zanzibar mjue
2026-02-10 07:55:42
1
shinerashid1 :
I don't understand Swahili language very well, but HIO NI MICCM YA ZENJI 😳
2026-01-09 15:08:52
4
ibun_sakran :
mzee wa hikma sana huyu
2026-01-16 17:53:47
1
To see more videos from user @historical_zanzibar, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.