@gaditv: Taharuki imeibuka baada ya mtoto wakiume mwenye umri wa miaka 12 mkazi wa kijiji cha Oldadai kata Sokon II wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, kukutwa akiwa amefungwa mikono na miguu na kuwekwa kwenye jua, kwa tuhuma za kuiba maandazi kwenye duka lililopo jirani na nyumbani kwao wilayani humo. Mashuhuda wa tukio hilo wakizungumza na waandishi wa habari January 08, 2026, wamesimulia namna tukio hilo lilivyotokea na mtuhumiwa kulazimika kujifungia ndani ya duka hilo hadi alipokuja kuchukuliwa na maofisa wa Jeshi la polisi wilayani humo. #TANZANIA #tanzaniatiktok #tanzaniantiktok🇹🇿

GADI TV
GADI TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 09 January 2026 03:48:57 GMT
891072
16719
793
883

Music

Download

Comments

missrayofficial
R_E_H_E_M_A🧸🦋Leo♌️ :
Kwani arusha iko nchi gan🤣
2026-01-09 07:32:53
317
edson.christopher8
Edson Christopher :
Sawa lakini kwa nini aibe?
2026-01-09 06:36:16
83
tina414690
tina414690 :
Yaan mim mtu akiiba chakula simgusi wala naelewa balaa la njaa
2026-01-09 07:11:35
230
misskessy0
Miss kessy :
Nitaishi mikoa yote lkn sio Arusha jmn😳🙌🙌
2026-01-09 07:12:36
83
neylasweety
Neyla :
Arusha matukio kila siku mnaniniii lkn
2026-01-09 04:23:28
125
asiakasun2
asiakasun2 :
maandaz haya haya ambayo sina ata ham nayo
2026-01-09 06:13:07
84
christina.monyi
Christina Monyi :
Angepigwa mngesema kapigwa 😳😳hiyo ni adhabu inamtosha hata shule tunaambiwa watoto wapewe adhabu sio kupigwa…mnafuga wezi 😁😁😁😁wachaga bwana😁😁
2026-01-09 08:02:49
27
jlastborn_
Jlastborn_ :
sema wameru mna roho mbaya🤣🤣🤣🤣
2026-01-09 08:05:53
25
marthandagano145
Martha Ndagano :
maandaz tu jamani 😂😂
2026-01-09 07:09:59
5
macklin.moyo
macklin moyo :
yaaan arusha kila siku maandamano sijui watu hawanaga kazi zakufanya??
2026-01-09 07:08:55
18
officialnasra39
4548787875nasra :
atakuwa alikua na njaaa
2026-01-09 07:29:46
7
mishky343
Miss Right😊🇰🇪🤝 :
Yanii Arusha apana jaman🙌🏾
2026-01-09 07:08:29
11
ms.marlow2021
Khadija Hamadi :
nimimba inamplkesha
2026-01-09 07:07:59
5
akida_blue_tours
MRS DULLAH💞 :
NILIJUA TU NI ARUSHA😂😂😂
2026-01-09 13:04:01
9
user2691459862682
fatma :
eee watu Arusha muogopeni Mungu
2026-01-09 07:19:59
6
pele123zox0
bussineser online :
yani wameru uwa wana roho mbaya so powa
2026-01-09 18:27:11
7
offficialsasha12
_Ms_meena🐾🥵 :
Diwan ni muhaini achinjwe sikukuu ya eid😌😂😂
2026-01-09 07:21:36
16
neema7433
neema :
wamama pia muache kuzurura pikieni watoto wenu familia zenu be care
2026-01-09 11:08:53
9
sidrath08
Sally 🍇 :
Huend arusha ni nchi ndan ya nchi ya Tanzania maana si kwa matukio hayo
2026-01-09 13:26:55
9
chia80527
chia :
duh vichogo wanaroho mbaya hawa. maandazi tu.
2026-01-09 07:03:29
7
user2251881079360
UMMU LUQMAN :
yan mwizi wa maandazi anafatwa na jeshi🤣
2026-01-09 06:27:15
22
msmjeshi
MISS MJESHI❤️🪾 :
mandaz yameleta kizaa zaa😂😂😂
2026-01-09 05:41:01
29
cleopatra_wa_g
Cleopatra :
isingekuwa Arusha ningepasua simu😅😅😅hawa watu nachok mm
2026-01-09 18:04:45
5
sashaseanfred
Sashaseanfred :
Kila mtu nikamfungua nikamfungua tumuamini nan ssa
2026-01-09 07:02:28
5
ms.marlow2021
Khadija Hamadi :
jmn heeeh kwnn arushaa
2026-01-09 07:02:32
5
To see more videos from user @gaditv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About