@imaniwinchislaus: Karibu hapa IMANI GYPSUM DECORATIONS Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi, Hasa • Gypsum decoration • Tv cabinets • Tiles installation • Painting • Sikimming • Decor/moulding Ushauri Bure saa 24. 📌 Tunakufikia popote kwa Gharama nafuu na rafiki. Tafadhali tembelea Channel yetu kuendelea kupata vitu bora mapema Zaidi https://whatsapp.com/channel/0029Vb4WxxoJ93wNzPZ7UJ2S
Imani gypsum decoration
Region: TZ
Friday 09 January 2026 05:28:25 GMT
Music
Download
Comments
JUMA PAINT & DECOR :
sawa boss ima
2026-02-09 18:15:12
1
My chunoni☘🍂 :
Me nimepaka hiii rangi kwangu oyaaaaa majiran wameninunia😂
2026-02-07 20:50:11
3
Thankyou God🤍🙏 :
good job
2026-02-12 12:18:43
1
MRS SALIM :
ndio inaitwaje hio iliyofanyiwa ukuta
2026-01-28 14:20:49
2
NEEMA :
hongera sana fundi wangu kazi nzuri❤❤❤
2026-02-06 19:43:06
0
faiza960 :
ilopakwa apo inaitwaje
2026-01-27 10:59:54
1
Kwizera :
Hivi hii rangi unaweza kupata kwenye ukuta uliokwisha pakwa rangi?
2026-01-15 13:37:44
0
Samainda_finishing :
Ume tisha mzee
2026-04-07 17:47:26
0
Mr President :
beatiful
2026-01-09 21:58:58
0
Sandy store :
Nauliza chini ya ukuta hizo ni tyles ?
2026-01-23 06:56:35
1
SMARTY ALLUMINIUM EXPERT :
Kaka Alluminum Nipo apa kaka connection
2026-02-27 06:35:30
1
THERESIA COLLECTION :
MUNGU, Baba,km,hiii?
2026-02-19 17:35:51
1
user9285616170351 :
ipo maeneo gani
2026-02-13 08:45:30
0
Azzan Jr :
tuone vizuri hio nyumba
2026-01-12 04:30:39
0
Lorraine Ngala :
Nyumba nzuri sana ❤️
2026-01-19 08:21:01
0
loveness :
vikundi vya wachawi kaka 😂😂😂
2026-01-16 11:30:28
0
ruu :
maashllah iko vzur
2026-02-26 08:25:33
0
Dada Mkubwa :
hii rangi lita 20 bei gani kaka
2026-01-24 19:34:37
1
mwaila jr :
mkuuu hii ni rangi ya kawaida au
2026-01-24 18:01:30
1
banik036 :
amem
2026-01-23 12:21:46
1
ziadaramadhan749 :
Hongera kwa kazi nzurii na yenye kupendeza!
2026-02-03 22:43:42
1
Josphat Jay :
2026-02-15 11:08:38
0
Derick mchambuzi :
good
2026-03-08 20:54:00
0
Nabii ajae :
whatsapp namba
2026-02-13 13:51:33
0
zungu umeme bukokwa :
tinted
2026-01-11 07:23:57
0
To see more videos from user @imaniwinchislaus, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.