@rich.jinni: Jinn al-Bahr (Majini wa Majini) Makazi wanaishi kwenye majumba ya kifahari yaliyojengwa kwa matumbawe na lulu chini ya bahari kuu Uongozi mara nyingi wanaongozwa na wafalme wenye nguvu, na miongoni mwa majini maarufu wa kike katika kundi hili ni Maimuna safa zao kuwa ni majini wenye busara, watulivu, lakini wenye hasira kali sana wakichokozwa Utajiri wao haufanani na wa majini wa nchi kavu. wao wanamiliki Vito vya Thamani Lulu (pearls), marijani na almasi za kijani Hazina Zilizozama ni walinzi wa meli zote za dhahabu zilizopata ajali baharini tangu karne nyingi zilizopita miji yao wanakoishi chini ya maji imezungukwa na kuta za dhahabu zinazong'aa hata kukiwa na giza nene Wanapenda harufu za asili kama Miski (Musk) na Anbar wanapenda maeneo ya bahari yasiyotawaliwa na kelele za binadamu Harufu Mbaya: Wanachukia harufu ya vitunguu saumu au harufu yoyote kali ya uvundo #jinisurtana #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #viraltiktok #fyppppppppppppppppppppppp

JINI SULTANA
JINI SULTANA
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 09 January 2026 12:13:09 GMT
55438
1744
95
48

Music

Download

Comments

shem5939
shem😘 :
Allah Ndiye anaetowa mali kwa mwenye amtakae
2026-01-10 03:17:53
14
hawa.albajoun
Hudhayma soud :
nina shida nae nitampataje awe mpenzi wamgu nimempenda jaman
2026-01-09 15:46:47
8
claus5905
it’s claus🌴🥥🎧🎼 :
tumsifu yeye aliye mbinguni tutapata vyote🙏
2026-01-20 12:55:58
1
shushubaby10
Shuu❤️🦚 :
Uwe unaweka na namba bc boss sasa kama nashida nae nampataje
2026-01-23 21:25:07
2
mnubi10_jr
mnubi jr :
ungeandik na jinsi ya kumpata
2026-01-10 22:43:41
0
rottenburger8
Hello , habari , Salam :
Mbona anavetendo vizori alafu ni handsome Mashalah
2026-02-03 21:29:02
1
user6909813584800
mana nasra :
jini me nin shida na wew tafazali
2026-07-14 22:06:25
0
user9265940792188
Q.melody 🥳🥳🥳 :
AMERANIKA MWENYE KUMTEGEME KIUMBE MWENZIE KWA KUMFANYA MBADALA WA MUNGU
2026-01-10 01:38:29
8
luciferprime777
Lucifer 😈prime :
okeyyyy hongera yake,, mpe salamu namsalimu kwa jina kubwa la utukufu alilonalo na kazi njema anayo fanya kwa wanaadamu
2026-01-24 23:38:51
2
mshirazy.harith
Mshirazy Harith :
TAFUTEN PESA ACHEN UJINGA WA KUTAFUTA MAJIN😂😂😂😂😂
2026-02-28 23:07:50
1
patrickannastazia915gmai
annastaziapatric5 :
mmmmm kumbe badob sijasikia mengi
2026-01-09 20:31:16
1
user345326193615
fatty :
Asalam alykum
2026-02-19 06:52:46
0
ankal_cakes
Ankal_cakes🎂 :
namtaka uyoooo namtaje
2026-02-27 10:07:33
0
user34695334905478
Anaa🥰🥰 :
namwataga kila siku
2026-02-10 13:50:36
0
user8113006154532
Ismail :
namihitaji
2026-01-09 14:04:50
0
angelfrank793
angel :
jaman
2026-02-11 02:38:44
0
qween_farida
Farida :
ungeeleza namna ya kumpata,au kumuona
2026-02-14 10:27:56
0
thumah19
🦋 Thush😍 :
kazuri kenyewe☺️☺️nipeni number zake
2026-02-24 10:56:31
0
sapaja.bm
sapaja Bm :
nipe namba yeje
2026-02-06 11:56:04
0
mchichira12
mchichira mabegani :
me nakutaka uwe mke wangu
2026-02-08 09:52:12
0
user4796311199993
user4796311199993saadia :
MH yaan htr
2026-02-10 11:55:52
0
user2950365581709
suleiman :
sawa
2026-02-14 09:24:06
0
shahidakarama
𝘀𝗵𝗮𝗵𝗶𝗱𝗮🐎𝗸𝗮𝗿𝗮𝗺𝗮🦅 :
tampatawapii jinni kama hili jama nae ni ji handsome😂😂😂😂
2026-02-10 10:35:50
0
nassirmussa68
Nasri 999 :
na mpataj 😶😶
2026-02-08 12:50:38
0
zuu.chimamy5
zuu chimamy :
saw
2026-01-09 14:04:57
0
To see more videos from user @rich.jinni, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About