@sharif_asiyejulikana: Kitu kinachotisha na kushtua katika mahusiano na watu ni nia zao. Lau tungejua nia za baadhi ya walio karibu nasi, basi tusingetamani hata kuwaona. #kenyantiktok🇰🇪 #zanzibar #tiktokviral #tanzaniatiktok #tiktok

Sharif Asiyejulikana
Sharif Asiyejulikana
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 09 January 2026 21:27:34 GMT
142121
4894
18
1048

Music

Download

Comments

priscillalubango
Bihayna💞 :
Mwenyezi Mungu atujalie kujua mawazo na Nia za watu tunaokutana🫂🫂 nao kwenye maisha yetu
2026-01-10 14:26:32
8
user1012804323974
abdallah :
ni kwer mashallah weng wetu tume ficha meng juu ya upendo wa kwer na maanish upendo wa kwer n mtu kuoa na kuolew inshallah
2026-02-22 12:44:21
1
mskinagy
Binti_Naseeb🌏🦒 :
Aki WALLAH kuna watu hata tusingewasogelea hasa marafiki🥹
2026-01-10 08:02:19
5
user74382829227666
Poy Arso Poy :
2.Anacho kitaka kwangu+ kusudio lake kwangu.
2026-01-19 09:19:24
3
agnespeter560
Agnes Peter :
Mungu nisaidie kujua Nia na mawazo ya wtu juu yangu inauma sana
2026-01-12 12:59:36
1
user606508941
A❤️ :
so true
2026-01-10 22:23:18
2
hans.mohammed6
hans Mohammed :
kweli kabsa
2026-01-10 13:31:31
1
anniekalush
Annie Kalush :
true
2026-01-12 10:12:42
1
jasmin.shaibu6
Jasmin Shaibu :
🥰
2026-01-19 18:43:12
1
user7517820408571
Zeera beaut point :
haiwaa
2026-01-10 07:47:52
2
nayrakajala0
RADY K❤️ :
yaaan Mungu nikumbuke
2026-01-13 12:01:49
1
deborahsichone651
madam :
sawa kabisa
2026-01-15 09:10:32
1
To see more videos from user @sharif_asiyejulikana, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About