@mozannah: Assalam alaykum guyyss😍😍Haya leo tunapika eggchop tamu sana 🥚mahitaji yetu ni Nyama yakusaga nusu kilo Mayai 8 Mkate slice 4 Kitunguu 1 kikubwa Greenpaste kijiko 1 (kitunguu swaum) Ndimu & chumvi. Viungo unaweza kutumia ulichonacho wewe ila mi nimeweka hivo katika video hapo. Mkate kabla hujaweka kwenye chopper roweka na maji kamua vizuri ndo uweke usiwe na maji. 😊 Hatua nyingine zote fatisha katika video hapo. Mi nimetoa eggchop 5 ila unaweza kupata eggchop 7 kwa nusu kilo ya nyama. Inategemea na ukubwa wa mayai kama madogo hata 10 unapata. Shukran guyss usisahau kushare , like & coment😍❤️ Byeee #swahilifood #tanzaniafood