@ibraah.supplement: Kula chakula huku unakunywa maji mengi kunaweza kupunguza nguvu ya asidi ya tumbo, kuchelewesha mmeng’enyo wa chakula, kusababisha kujaa tumbo, gesi, kiungulia na hata maumivu ya tumbo. Ni bora kunywa maji dakika 20–30 kabla au baada ya kula ili mmeng’enyo ufanye kazi vizuri. #AfyaYaTumbo #MmengenyoyaChakula #LisheBora