@newsupplements: Poleni sana Wanawake Safari ya Ujauzito ni nzito Mungu ni mwema kazi yake ni kuwatia nguvu wakati wote🙏 #uzazi #swahilitiktok #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #congolaise🇨🇩

NEW SUPPLEMENTS
NEW SUPPLEMENTS
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 12 January 2026 11:35:57 GMT
111558
3768
457
349

Music

Download

Comments

mamanasramamanas7
MS ASHRAPH 🫀🐵🌹🌹🌹 :
jamani lidhani ni mimba yangu pekeangu ipo hivi kumbe tupo wengi Mwenyezi Mungu atupe nguvu na umvumilivu jamani super woman👩🥰🥰🥰🥰🥰
2026-01-13 10:14:24
172
lucy.phili1
Lucy 🌹🌹🌹🌹 :
mimi sina mimba wala mpenzi ila niko mpweke sana leo sijui kwanin 😭
2026-01-13 10:02:33
47
shaalove15
sherry wa miii🥰 :
nikajua ni mimi tu jmn 😪
2026-01-13 08:22:05
23
user8315568100545
user8315568100545 :
naimani Mungu atanivusha salama mim na mtoto wangu tumboni 🙏 amen
2026-01-13 14:01:05
15
fificute36
Mrs mkali💍❤️ :
Usiombe hii Hali kiboko🙌🏼
2026-01-13 22:49:23
10
nurumwita94
Nuru mwita :
mama mshukulu mungu wenzenu tunazitafuta mpka tunakata tamaa yakuishi
2026-01-25 14:58:57
12
rk_nvestiments
RK_INVESTIMENTS :
Mbona mimi sijawahi kupata huo upweke, Am always happy
2026-01-16 19:19:08
7
rumaysa255
Rumaysa fimbo ya michambo🦂 :
Kwa kweli hata mm napitia hii
2026-01-13 10:50:16
6
grace.david899
G Davoo🍎🍎🍏🍏 :
Nilijua ni mm tu kumbe tupo wengi mungu atutie nguvu tumalize safarinhii salama ya kulea mimba Ameen🙏🙏🙏🙏🙏
2026-01-23 17:14:33
3
mulaty5
user7420145395972 :
jn mm nimelia
2026-01-25 18:54:44
0
maua2521
maua collection2🛍 :
nilikua nalia bila sababu mungu mwema nisha jifungua
2026-01-13 13:01:03
20
nuhwairaty
nuhwairaty :
niunge na mimi group la mama k
2026-01-13 11:41:29
2
angelsury852
Angel Sury :
me nilikua nalia bure kabisa jaman😅😅😅 ila mimba🙌
2026-01-13 14:18:41
7
yusouf36
yux404. :
usilie pole utakuwa sawa I love u mom❤️
2026-02-06 07:31:37
2
asmahally7
Asmah Ally806 :
nilizani ni mimi tu wallah unaiona Dunia kama imesimama umebaki pekeako tu 😭😭
2026-01-27 17:30:54
3
lucy.mares37
Lucy Mares :
ni mmi huyo kuna mda najisikia kulia tu najion nipo mwenyewe Yan dah😥
2026-03-01 14:54:28
2
callmehappy58
Ms HappY♡ :
Unalia bila sababu ila mm siliagi ata mda sina nina kitoto kidogo kinanihenyesh vip nikitaka kulia kipo apo🤣 mimba samaleko 🤣
2026-02-22 08:42:58
0
miriamumussa
Mirry :
pole dear Mungu akusaidie
2026-01-21 10:27:38
1
dearmaryam._
Fatimah❤️🤍 :
kindly..km kun mweny group la wajawazit please... wanawak tunapitia meng wallahy Allah atusimamie waja wake
2026-01-13 11:31:26
4
feylicious0
feylicious0 :
kaza mama ndoukubwa uwo 🥰
2026-01-13 17:58:26
1
pretty.naah8
🥰 :
Jitahidi usilie kipnd ukiw n mimba
2026-01-26 19:06:23
1
agnessa803
agnessa803 :
pole sanaa hata mm nilipitia hali hii mpaka nilikata tamaa ya kuishi nikajua ndio mwisho but God is good always omba Mungu akupee nguvu na ujasir thas all
2026-01-13 11:11:26
4
gracemgalla0
gracemgalla :
Mwambie Mungu unavyojiskia utakuwa sawa
2026-01-13 10:20:49
3
miss.mussa0
miss mussa :
Mungu atuvushe salama 😭😭
2026-01-13 11:49:02
2
upcomingboss4
faraja muuza vifaa vya ujenzi :
Pole sanaa daah nikajua ni mimi mwenyewe
2026-01-13 09:00:09
4
To see more videos from user @newsupplements, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About