wale wakutumia mikono tusimame wapi maana kila mtu huku machine zao zinashida😂😂😂
2026-01-13 12:19:31
35
Cauthal ♡ :
Humu kwenye comment kila mtu “ washing machine yangu” “ washing machine yangu “😂😭
2026-01-13 18:16:03
11
@dorcasmeemes :
nifungue hivi alafu ikatae kuwaka
2026-01-13 19:26:44
15
MR.MAWAZO🧠💭 :
ULIVYO MAKINI KUANGALI WAKATI TUNAJUA UNAFULIA MIKONO
2026-01-13 19:47:07
11
𝕯𝖊𝖊 𝖂𝖍𝖎𝖙𝖊...🌸🏜 :
team mikono😭🤣
2026-01-13 19:13:06
7
faah💘 :
kuosha nishajuwa bado kununuwa iyo mashine😂😂
2026-01-13 15:48:12
10
sheng lady :
me yangu yafua lkn hamaliz maji pka urinse mara 5 cjui xhda n nn
2026-01-14 19:31:34
1
biity lakii :
utaachaa warbu watufanyishee kazi zenyee hazistahlli 🤣👏👏
2026-01-13 11:36:28
12
QUEEN OF MIJIKENDA👑 :
wewe ndo wafanya nn ss na akina waiguru wako TikTok wataka tushikwe na vibabe😂😂
2026-01-13 20:43:37
1
QUEEN STYLE ♉️ 💍🔐 :
Me nimenunua machine lakin kule upande wa kufua maji hayatoki nje tangu nimenunua shida ni nin jaman naomben msaada
2026-01-13 14:06:31
1
Angel :
wenye ambao bado tunafua kwa mikono tujuane 😅
2026-01-13 17:10:40
2
Peter Genevieve :
Mim nachangamoto mashine yangu haikaush nguo....
2026-01-13 07:59:26
1
𝙏𝙚𝙚 :
washing machine yangu nu kg 16. hisence nikiweka nguo saiv haifui inaguruma tuu kwa sauti ila haifui zamani ilikuwa vizuri sqiv shida inaweza ikawa nin
2026-01-13 13:40:08
2
gal with grace :
nn hufanya dry kustop kuzunguka
2026-01-14 22:49:09
0
@mariita becky :
uuui waiguru wangu asione hii 🤣🤣😂😂
2026-01-14 03:53:26
6
Elsie norah :
ficha hii mwarabu asione🤣🤣
2026-01-14 20:49:21
2
DCI KITALE CHERANGANYI🇹🇷 :
aky warabu wasione hii🙆🏿♂️🙆🏿♂️
2026-01-14 08:44:07
4
nurusule3 :
mbn mwantia stress sasa kila um ndan ana washing machine😂😂😂😂😂
2026-01-13 14:55:37
1
granie :
Nipe ya front load
2026-01-13 15:53:31
1
miss debby :
10/10 like
2026-01-13 11:12:06
1
bethistar :
Jmn mm yangu kale kabomba kakupitishia maji kamekatika je kuna spea kweli🥺🥺
2026-01-13 19:43:13
1
MIRRY_DESIGN_COLLECTION👗🛍️ :
Na kama mpira hautoi maji?? Yani nkifua muda wa kuspin haitoi maji, shida ni nini
2026-01-13 13:56:49
2
Clarice :
yangu ni automatic nasafishaje
2026-01-13 15:08:21
3
To see more videos from user @ric.dry.cleaners, please go to the Tikwm
homepage.