@markpointlimited: #ironsteeldoors #doors #ironproducts #securitydoors Wanaopenda vitu vizuri huwa hawasubiri kuhadithiwa wala kuona kwa wengine, usichelewe muda wa kumiliki vitu vizuri ndiyo huu fika @markpointlimited ujipatie Milango yenye viwango vya kimataifa itakayo ongeza hadhi ya nyumba yako. Tunapatikana 📍Morogoro mjini barabara ya kuelekea chuo kikuu cha kilimo SUA Map👇 https://maps.app.goo.gl/2MQ8mygZWnWDvdN36 Tupigie kwa namba zilizopo hapo chini kwa maelekezo zaidi 📞0656 628 371 ~ 0652 187 098 #karibuni_sana
Hongera sana team Markpoint, mimi shahidi wa kazi zenu nzuri na huduma zenu bora kabisa.💪
2026-01-13 19:40:44
1
Statenets Tech :
kama unasoma koment zingatia niljaribu kuwapata Wateja Mkoa wa geita lakin kila mkipigiwa simu mnapokea na hamjibu mteja vzuri kuna shida kwenye management kila mara majibu na mafupi na hakuna huduma?? why??
2026-01-18 22:19:10
1
Doris Mlasi :
Bei ya mlango kama huo
2026-01-16 03:26:56
1
Queyz🦋 :
Bei je
2026-04-12 09:07:47
0
Kassim Khamis :
Dar mnapatikana wapi?
2026-01-13 19:19:37
0
BM :
lipa☺️😂
2026-02-01 19:42:19
1
user9650039206203 :
Nahitaji milango (1)urefu 117 upana 42 bei gani(2)117×38(3) 117×39 nipe bei zake kila mmoja nipe jibu
2026-02-21 16:52:43
0
remigiusjackson69 :
unyama bro,
2026-01-17 09:38:26
1
Jaques Kitenge :
ongera sana.ila namba ya simu hauonekani vizuri. namba yako naomba
2026-03-16 14:19:29
0
linee :
10/10
2026-01-18 17:44:34
0
Regina cute girl 👸🍭🦚💖 :
nalipa 10/10
2026-02-01 16:54:55
0
Geofrey S Mkamdala :
up200xur300. cm nipe garama tufanye kazi fundi
2026-01-19 03:21:49
0
Mary Sagamilwa :
bei gani
2026-01-20 05:09:29
0
MWAJUMA1993 :
mi mwanzo nilijua kabati
2026-01-26 01:52:26
0
MALLYAMOBILEphones&accessories :
welen bei rafiki tunaitaji hudum zenu
2026-01-20 18:54:06
0
Rayya :
10/10
2026-01-30 20:01:11
0
Kelvin Sanga :
yess
2026-01-30 14:07:10
0
PASON :
bei
2026-01-14 05:13:38
0
To see more videos from user @markpointlimited, please go to the Tikwm
homepage.