@adamalmas190: Stroke ni tatizo la dharura linalotokea pale damu inaposhindwa kufika vizuri kwenye ubongo. Mara nyingi huanza na dalili ndogo kama uso kuvia upande mmoja, mkono au mguu kulegea ghafla, kuzungumza kwa shida, kuona mara mbili au kizunguzungu kikali. Ukiona dalili hizi, hata kama zinaonekana ndogo, wahi hospitali au piga simu ya dharura mara moja. Hatua ya mapema huokoa maisha na kuzuia ulemavu wa kudumu.#stroke#healthy#prevention#healthytips#foryou