@doctornoel: Kutafuta mtoto isigeuke kuwa 'shift' ya kazi! 🛑✋ Watu wengi wanadhani mkifanya mapenzi KILA SIKU ndio njia ya uhakika ya kupata mimba haraka. Ukweli ni kwamba, msipeane presha kubwa kiasi hicho. Kitaalamu, "Every Other Day" strategy (Siku moja ndiyo, siku moja hapana) inashauriwa zaidi wakati wa fertile window. Hii inasaidia kuhakikisha mbegu za kiume (sperm quality & count) zinakuwa katika ubora wake, na pia inapunguza stress na uchovu kwa wapenzi wote wawili. Kumbuka: Mimba inahitaji timing sahihi, sio nguvu nyingi kupitiliza. 😉 Tag wanandoa wanaopitia safari hii 👇

Dr. Noel, MD
Dr. Noel, MD
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 13 January 2026 17:36:39 GMT
172167
9531
182
1218

Music

Download

Comments

nyotaquestsafar1s
NYOTAQUEST SAFARIS :
naomba kufanya mapenzi
2026-01-15 20:09:01
48
sangulorashoo67
Sangulo Rashoo :
mbona mim sjawai fanya mapenz na Nina mtoto😊
2026-01-21 05:12:04
41
somba1899
SOMBA 🚛 :
mimi nilipo oa kila siku nilikua nafanya mara 3 kwa mwezi mzima na alipata mimba
2026-01-15 01:44:59
17
oblackdouble66
SHAIBU :
Wew Nikuombe ruhusa ww ndo shahawa
2026-02-04 15:22:22
8
junior.andrewto
junior andrewto :
kaka leo nina game kaka
2026-01-15 09:25:57
13
kihongole3
Mr awareness :
2026-01-15 09:08:22
15
willieim_clue
William clue :
mbona ukifanya na mwanafunzi ni saa Moja tu anapata mimba
2026-05-23 20:25:32
1
themey.kern
Themey kern :
hata mm nimeanza kumuelewa sana huyu mshikaji
2026-02-01 07:46:43
3
barbieguch
barbie guch :
hiz sharubu ake akija kuomba naji simpi🤣🤣🤣🤣
2026-02-24 22:03:09
8
abasi.wild
Abasi Waveborn :
2026-01-15 18:49:37
6
user57861707241886
Dr TLC4ever :
huyo jamaa...WATU WAkata vipande ila Mwamba ana madini balaaa....hyoo😊😊
2026-02-17 04:18:56
5
mchaulu.mussa
it's sonjoman.. :
nilijua doctor kweli,kumbe ni content creator
2026-02-25 12:27:07
1
noelyml47
Noelyml47 :
Kwa Nini ufanye na unafanya Nini
2026-01-13 19:23:00
6
user3578318329439
usinune001 :
hebu anipe mke wake bas niagalie kwel maan mm mkojo wang mungu kwa baraka zake amenijalia hat nikukojolee ktk tumbo unapta mmba
2026-01-23 23:52:35
6
meyloce_lyrics2
meyloce_lyrics📘 :
huwa anafanya hivyo kuvuta attention ila ni mzuri sana
2026-04-05 11:10:47
1
..hapsa_6
..hapsa_6 :
Kufanya nn boss
2026-02-23 08:02:31
2
azizmiraji1
azizmiraji1 :
kumbe hakuna haja ya madawa ya kuzuia mimba kwa wake zetu njia ndo hii ya kuzuia mimba
2026-02-27 06:50:39
4
barakasam_official
barakasam_ official❤️‍🩹🩸 :
em ni scrol tuu 😅
2026-04-01 21:09:00
1
michaelmadirisha02
Dr michael. :
Mimi niliwahi kutana nae nikweli professional enough yuko vzr
2026-02-24 13:06:46
2
user2276735462825
Godlove in Wheels :
Hooks zake zinavutia sana. Ukimsikiliza kwa kina ndio unamuelewa vizuri. Namkubali sana.
2026-01-25 11:42:13
2
official_dml07
ynbl :
hahaha kumbe na nyeto turuke one day au suo😂
2026-02-26 18:52:40
1
daughterofjesus977
daughterofjesus977 :
Hizo ndevu kabandika au?
2026-02-24 18:17:30
1
abdallatwahir
Abdalla Twahir :
huyoo doc huwa namuelewa sana
2026-01-20 12:15:18
1
nicolaus_barnaba
NICOLAUSBARNABA :
yeah huyu jamaa yupo sawa kabisa
2026-01-20 21:51:47
1
shepa2004
shepa :
hii n kwel ushahid nnao
2026-01-15 17:25:51
1
To see more videos from user @doctornoel, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About