@_careenmakundi: Huwezi niacha peke yangu, kwenye giza nene umekuwa nuru, nakutegemea wewe na sio mtu, mwanadamu kamwe hawezi kuwa Mungu🙌kwake siwezi weka tumaini langu ila kwako Mwokozi na Mungu wangu😭❤️(And the song that carried me through hard times❤️🙏)ushuhuda kuhusu hii nyimbo nitawaletea but for 2025 imenipa courage sana #gospel #paulclement🇹🇿 #Mwokozi