@drlishe: Madhara ya sigara kwa mgonjwa wa kisukari ni makubwa na hatari zaidi kuliko kwa mtu asiye na kisukari: Huongeza sukari ya damu kwa kuongeza insulin resistance Huongeza pressure, kiharusi na mshtuko wa moyo Huharibu mishipa ya damu → ganzi, maumivu, vidonda vya miguuni visivyopona Huongeza hatari ya kukatwa mguu au vidole Huathiri figo → figo kushindwa kufanya kazi mapema Huathiri macho → kupungua kuona au upofu Hudhoofisha kinga ya mwili → maambukizi ya mara kwa mara Hupunguza ufanisi wa dawa za kisukari 👉 Kwa mgonjwa wa kisukari, kuacha sigara kabisa tena kwa hiari #viraltiktok #sumu #sigara #ushauri #matibabu @Madam flora na Uzazi