@victor_mwambene: Ilikuwa heshima kupata nafasi ya Kushiriki na Kutoa Elimu ya Fedha katika Tukio la Ugawaji wa Tsh Milioni 50 kwa Mshindi wa #MagiftyaMixxPesa Tukio Lililo hudhuriwa na CEO wa @yastanzania_ Ndugu Pierre Canton Pamoja na CEO wa @mixx.tz ndugu @angelica.pesha katika Makao makuu ya Yas Tanzania pale PSSSF Comercial Commercial Complex Sam Nujoma road Ubungo. . @mixx.tz . @yastanzania_