@curtains.by.jane: Karibuni Curtains by Jenny! Tunaboresha mwonekano wa nyumba yako kwa mapazia ya kisasa, yenye ubora na mvuto wa kipekee. ✅ Pazia Nzito (Heavy)TZS 25,000 kwa mita ✅ Sheer (Less)TZS 18,000kwa mita Pazia zetu: ✔️ Ni imara na hazipitishi mwanga kirahisi ✔️ Zimebuniwa kwa kupendezesha kila chumba ✔️ Zinasokotwa kwa vipimo vya mteja (tailor made) 📍Tunafika site popote ulipo! Tunapima madirisha yako, tunashona pazia kulingana na vipimo vya nyumba yako. 📌Tunakupa ushauri wa kitaalamu wa aina na rangi ya pazia kulingana na mandhari ya nyumba yako (cozy, minimalist, aesthetic nk) 💰 Huduma zetu ni nafuu na zenye ubora wa hali ya juu. Tunatoa pia huduma za bomba za pazia (curtain rods & aluminum poles) zenye ubora na uimara wa muda mrefu. 📍 Tunapatikana Magomeni Mapipa Location yetu iko Google Maps/Bolt: Suna Subward Office Call/WhatsApp:0750 686 666 #CurtainsByJenny #Mapazia #HomeMakeover #InteriorDecor #Magomeni TailoredCurtains AffordableLuxury