@kokobyanko: Mwanaume hafai kuaminiwa #kenyantiktok🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 #tanzaniatiktok🇹🇿 #views #fyp trending video #new hashtags to go viral

director_koko_sungura
director_koko_sungura
Open In TikTok:
Region: DE
Saturday 17 January 2026 10:36:21 GMT
170034
10384
447
1150

Music

Download

Comments

abou.ibrahim89
abou Ibrahim :
bro, huyo sista kama kuna udugu na wewe
2026-01-18 07:08:06
6
rajabu969
RENDU Jr5🇹🇿🇺🇬🇿🇦🇨🇩🇬🇭 :
kaka nakuelewaga sana bro
2026-01-17 11:11:58
6
kibz029
kibz :
huyu dada nae kaongea ukweli utapata mwanamke eti nakuvumilia huna hela wakati pia yeye hana😂
2026-01-17 12:06:51
82
user1536997023450
man city forever :
unatafut bwana mtandaoni au ww upendi ela za wanaume
2026-02-01 13:33:13
2
user6765330bdxhj71368
fedrick :
mwaaaaa
2026-04-14 14:37:22
1
jackjuma872
Jack Juma :
umetisha
2026-04-05 03:24:14
2
dikurujunior
Dikuru Junior :
🤣 Dada lQ 🔥 + andiko 🔥....Nature ya wanawake ni wabinafsi na hawataki kupungukiwa katika maisha yao.....always maisha yao ni ya malalamiko na manung'uniko....wamejawa na matress yasiyo na maana yoyote....🏋🏽‍♂️🤝🙌🏾
2026-01-18 12:31:57
5
adaezeeugenie
princesse adaeze officiel 👸 :
nikweli kabisa yaani wanawake wengi wao ni tamaa ndio inawaponzaga🥺🥺
2026-01-17 13:48:15
10
danielyjacobomost
Daniely Jacobo Mostety :
Dada umeongeaaa ukweliii munguu akubarikii
2026-04-14 04:58:37
2
abibuhamza867
abibuhamza867 :
nashukulu hata wanawake wenyewe wamekili
2026-04-02 12:34:01
2
dalits254
@Da-lits254✨,🇰🇪🇰🇪 :
volume please
2026-01-19 03:46:30
1
user7158039530793
Jospin Séraphin :
uko sahihi asante
2026-04-04 08:39:45
2
user9812365181332
Tiger 🐅🪖🪖🫡 :
Yani mwanamke uyoo anaakili sijawai ona, mlimpatia wapi mana ninazawadi yakee apa
2026-01-19 19:30:43
3
koll40gmail.com
BEN :
Mtu haneza kukuchukia Kwa movie zako, but real life wewe nimzuri Tena uko na akili nimekupeda dada
2026-01-19 16:41:54
3
mtumishiwalii901
we ni batan ipo sababu yakuwep :
hili andiko halipo
2026-03-08 20:59:07
5
jirafathedon
JIRAFA THE DON🦒🦒🦒🦒 :
kwisha kunann kunanntena
2026-01-18 06:14:05
2
momen_tz
Momen :
baba tupe igine baba😁😁
2026-01-18 15:24:03
1
user6765330bdxhj71368
fedrick :
ndio mrembo wangu
2026-04-14 14:37:16
1
zakaria.apoloo
zakaria Apoloo :
iko vizuli hio
2026-03-12 17:21:07
2
elikana.simon
Dr Elcanism :
hahahahahaha 😂😂😂😂😂 wew ni 🔥
2026-01-18 11:18:42
1
heri.stunner
Heri stunner :
duuu,wewe utaandika bible yako🤣🤣🤣🤣
2026-01-18 15:10:49
1
bashirhussein751
Bongo 1 :
👏💪💪 kaka nakutambuwa,
2026-01-17 10:58:43
1
kitunguu254
kitunguu254 :
Apewe ulinzi hyu mwanamke
2026-01-17 17:19:02
1
user7826195526022
mbirize :
nikweli kk
2026-04-05 06:58:12
1
emmanuelgambo250
Emmanuel Gambo :
Ameanza yye kwenye tamthlia haridhiki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-01-18 06:39:02
4
To see more videos from user @kokobyanko, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About