@veriafya: Vitamin A huboresha hali ya afya ya mfumo mzima wa Njia ya Hewa na huzuia kupata Nimonia (Pneumonia) ndio maana watoto wakifika Miezi Sita lazima wapate Vitamin A na kuanzia hapo kila Miezi 6 hupewa Dozi ya Vitamin A kwasababu ukosefu wake unachangia katika kudhoofisha mfumo mzima wa Njia ya Hewa Vitamin A hupatikana kwa wingi kwenye Mboga za Majani kama Mchicha, Spinachi na Brokoli, na Matunda kama Embe, Tikitimaji, Zabibu na Papai, na Viungo kama Nyanya, Pilipili hoho, Karoti pamoja na Maboga. Prof. Karim Manji Mhadhiri - Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili Video: Elimu ya Afya Online TV

Veriafya
Veriafya
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 17 January 2026 15:25:57 GMT
54808
1322
9
340

Music

Download

Comments

secysamwel
user4923069525942 :
ni vp hv nikanunue
2026-01-19 16:18:27
2
blessah33
anna :
vitamin awanapewa watoto kuanzia miezi mingapo
2026-01-18 19:24:34
1
heedasmile
hida :
best dr dr kareem
2026-01-19 09:54:16
0
user896711355030178
user8967113550301 :
best doctors
2026-01-18 18:38:26
1
hatiar5
Hatiar Ahmed :
@Ihsab
2026-01-19 05:45:43
1
To see more videos from user @veriafya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About