@nombogazim: #creatorsearchinsights #barakanombo #nombogazim #fyp #viral

baraka nombo
baraka nombo
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 18 January 2026 06:29:23 GMT
39900
3409
178
445

Music

Download

Comments

mwanamdeche1
Mwana mdeche💃 :
🤣🤣🤣🤣 Nilishawahi sema sina nauli nikawa nimeficha elfu 10 yangu nyuma ya kava yule mbwa nilivoenda kuoga akaichukua Afu akinipa akasema nauli iyo nilifurahi kumbe ndo ilikua elfu 10 yangu alaaniwe yule mkaka wallah 🙌😁😁😁😁
2026-01-20 09:40:31
57
richard.mallya0
Richard Mallya :
wanakuwaga wasenge na ukituma awaji
2026-01-18 12:39:04
16
jacklinetemba48
Jackie 🍒 :
inategemea nauli ya usafiri gani dear kama ndege naipata wapi..ila za hapo makongo tunazo
2026-01-21 05:06:57
12
positivemantz
Ninja🥷 :
mzee kama hana vocha, atakuwa na maamuzi kweli😁😁
2026-01-18 06:45:38
21
minister_agrey_avery
minister agrey avery :
this brother is humble hatari achana na huku tiktok 🙌😃
2026-01-26 06:25:56
1
homegel
happygirl🥰 :
nauli ninayo ila siyoyakwendea kwake🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-01-19 08:38:06
4
helenmahenge
da Hellen💃💕💕 :
ko ndo walivo kutuma sioo 😂😂😂😂
2026-01-19 15:58:05
3
willisymapuga
Willisy Mapuga :
wasichana tangu lini tunakuwaga na hela?😂😂😂
2026-01-18 08:08:26
4
giftraj1
MAMA PARIS💕 :
Bhas tufanye nauli sina na hyo future pia sina😂😂😂
2026-01-18 07:03:49
8
hemed_vuzzo
MZ PRO TZ :
Mi akishasema sina naul mi najua kabisa huyu sio type yangu 😂😂😂
2026-01-18 07:08:58
6
precious.pretty51
@precious pretty🥰 :
😂😂😂ila future
2026-01-19 19:49:01
1
chenkybruce
chenkyBruce :
2026-03-11 20:39:26
1
cutevivian01
Cute me :
Wanawake toka lini tukawa nahela jomon 🫩🤣
2026-01-18 22:13:05
1
savageey_msudani
savageey_msudani :
Kama huezi kukaza nyege unaeza kulea watoto kweli 😂
2026-01-19 15:26:57
1
cutenaah43
NAINAH'S beauty ✨ :
wewe unafuture kweli huwezi kutuma nauli ndo uniite ebu jibrand basi unanitia hasira mimi aibu kwa mwanaume unaita na nauli hujatuma 😂😂😂
2026-01-20 13:54:50
1
janeth7613
janeth :
kwahy mtu asikoswe nauli
2026-01-18 06:35:33
1
ziadavitambaaa
Ziada Kumchaya :
Mtwara to Dar kweli embu nitumie nauli huko nakichogo chako
2026-01-18 06:58:38
1
nicepeople006
Nice :
huwa napenda hako kasauti kake kachini Sina nauli😂
2026-01-30 08:04:37
1
jabulan_19
jabulan_19 :
hatimaye tumepata msemaji wetu, leo umeongea point kka😂
2026-01-18 07:37:32
1
elzabeth.moses
elzabeth moses :
Bora nionekana future Sina ila nauli siwez kua nayo mm
2026-02-22 17:51:52
0
elegantindoor_decor_tz
@elegantindoor_decor_tz :
sasa wengine unakuta nauli mpaka alipo 100k sasa nijitolee kweli hapana bhna😂😂😂 brand ikae tuu🙌
2026-03-08 10:27:28
0
mabatiboranaimara10
MABATI BORA NA IMARA :
me nauli ninayo ila future sina
2026-02-27 08:57:51
0
maryuma_254
maryumaa :
🤣🤣🤣🤣🤣Sasa wataka nijee vp
2026-03-05 09:12:06
0
jolie_dollar
MOTTO 🔥🧡 :
Sasa nauli na future vimeingilianaje apo jaman 😂😂
2026-03-07 21:50:36
0
hawaii0176
hawaii :
😂😂 ila baraka 🙌🙌
2026-01-18 07:00:58
0
To see more videos from user @nombogazim, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About