@paschalcassian04: link kwabio INGIA yotube HAKIKISHA unasambaza huu wimbo kumbuka unapo FANYA hivyo unahubiri PAMOJA nami tupo mda mbaya sana kila mmoja afamye kazi take#KENYA

PASCHAL CASSIAN
PASCHAL CASSIAN
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 18 January 2026 07:16:54 GMT
245671
10780
472
1199

Music

Download

Comments

richard.rajbyuseni3
Richard rajby useni :
mutumishi wa kweli moyoni mwangu nakukubali sana # rajby
2026-01-18 15:49:08
9
zachaliabjohn
Zachalia B John :
pamoja sana kaka
2026-01-18 07:24:00
3
hoseamwambambale5
Hosea Mwambambale :
ukweli mi moyo wangu umeludi nyuma kweli yaani nilikua nawaza kuachana kabisa na mambo ya dini ila kupitia ww unanifanya niendelee kusali ila
2026-01-18 09:38:18
21
aimemakuzagmail.com
user5818796329092 :
napenda sana nyimbo zako
2026-01-18 17:27:31
11
madam.stellah1
Madam stellah :
ubarikiwe sana
2026-01-21 12:22:29
1
politologuemwana1
politologuemwana :
Thank you so much
2026-01-21 13:11:38
2
chancellemukeya
[email protected] :
Amen amen mungu akubariki sana mutumichi wa mungu
2026-03-17 08:48:30
2
user45870608275772
DENISE SIVA :
kkkk napendaka nyimbo zako asante 🤣🤣 mungu akubariki nakupenda Maisha marefu🥰🥰
2026-01-18 10:29:28
5
user4413865763952
Mariam :
napenda nyimbo zako. moyo wangu ukisikia nyimbo zako natamani kutubu kila wakat. mungu akupe siku nying hapa duniani. upo hapa kwa kusudi maalum.
2026-01-18 18:32:30
6
user4798817306055
jislene :
asante papa umenitiya moyo
2026-01-18 19:26:59
3
sharfaabass
sharfaabass :
Napenda sana nyimbo zako kaka ubarikiwe sana
2026-03-21 20:02:02
1
user8103022824950
kauma.yav :
nikwele baba amen
2026-01-18 17:45:34
3
user53463028
user534630nabifo Miriam God is :
amen 🙌🏼🙌🏼🙌🏼
2026-01-18 19:58:29
2
user5760398710932
Alfred mtandi :
Mungu akupatie nguvu
2026-03-29 08:45:49
1
user488145735
Beatrice :
amen 🙏🙏🙏
2026-01-18 14:58:26
3
morisho.omari5
Morisho Omari :
mimi naliya saaana moyoni mwangu
2026-03-22 12:14:43
1
maman.riben
maman riben :
amen
2026-01-18 10:33:44
3
elina.karabwe
linah@ :
amen 🙏
2026-01-24 12:21:17
1
user245563919723
kahambu :
🥰🥰🥰amina
2026-01-18 20:12:17
2
r23134727
Ray Dorcas💗 :
MUNGU ALIYEHAI aishie milele akutunze mtumishi wake
2026-03-22 22:46:35
1
elizabeth.richard902
elizabeth Richard :
Amina 🙏🙏
2026-01-18 19:23:16
2
devisideusi
Tz🚗🛻🚐 :
amen🙏🙏
2026-01-18 10:28:12
2
elizamdeja
Eliza Mdeja :
barikiwa sana mtumishi
2026-01-18 19:05:00
2
mrs.sm2
Hope minister ❣ :
hallelujah 🙏🙏🙏🤲🤲
2026-01-18 14:41:37
3
user810957997713462
@sallykipenzi🍑💦🍆🥰😘👈 :
Walai hii..wimbo imeniguza Asante mungu akubariki azidi kukupea kipajii🙏🙏🙏😪😪
2026-01-18 19:42:13
4
To see more videos from user @paschalcassian04, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About