@ibraah.supplement: Pilipili si tu hutoa ladha kali, bali pia huimarisha afya! 🌱 ✅ Huongeza kimetaboliki na kusaidia kudumisha uzito ✅ Huimarisha kinga ya mwili ✅ Ina antioxidants zinazoepusha uzee wa mapema ✅ Husaidia moyo wako kuwa wenye afya #Pilipili #AfyaBora #LisheAsilia #ChakulaChenyeAfya