@kalist.kadafa:

Kalist Kadafa
Kalist Kadafa
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 18 January 2026 20:34:46 GMT
1529560
60785
928
7641

Music

Download

Comments

mama.allyah
Mama allyah :
kinanda ...mm siku nikijua kupiga kinanda hakii nitaenda mpka Vatican nikawaonyeshe ujuzi😂
2026-01-19 09:18:37
214
shangaz1233
135729468 :
UKATOLIKI ni raha sana..🥰🥰
2026-01-19 16:08:12
140
observer_philosopher
Observer :
huu uvaaji wa haya masichana siyo ukatolic mamaye
2026-01-19 20:21:49
39
emelda_lily
Emeldalily :
forever Catholic 🙏
2026-01-19 17:39:39
29
its_cherrie15
it's_Charity🎀🥹 :
Waah Naskia Raha ad kwa moyo🤭 imagine ukae kusikiliza hizi Nyimbo, Kumtumikia Mungu ni hazina kubwa siku zotee🥰
2026-01-19 19:24:13
23
jovinusjoseph395
ankunda :
dadeki melody ya kihaya hiyo
2026-01-20 06:16:08
9
joseph_rosse
Joseph Rosse :
Acheni kuchanganya dini na utamaduni wapuuzi nyie hebu muheshimuni Mungu hata kidogo bas.
2026-01-21 22:46:24
8
floriekorir2
Florie Korir :
nice song
2026-01-19 16:00:13
8
newts90_
Newts :
Kwa maneno ya imani...
2026-01-19 17:33:38
5
user6797495662842
Dominik Mwelusi :
dancing style zingine kwa nyimbo za Mungu ni aibu! pia mavazi!
2026-01-21 07:47:15
5
reborn_mercy_lynne
Myra :
Narudi nyumbani niombeeni majaribu yamekua mengi Mungu akanipe ujasiri wa kushinda🙏
2026-01-23 10:45:25
5
brianmoranga201
Brian Moranga Kibwage :
Hii ni “Eeeh Mungu nisamehe dhambi zangu” au ni “Astaghafirullah”
2026-02-04 19:05:06
7
verade13
verahmueni :
Name of the song
2026-01-19 16:32:27
6
madamlirah1
Sarah 001 :
Nyimbo nzuri lkn hayo mavazi hapana
2026-01-24 14:55:28
5
gangsters_gang41
✊🏽Lavie🤙🏽d'Antoine🖖🏽 :
Twenden harak ma Catholic 10/10 gang 😍😍😍😍😍🥹🥹🥹🥹🥹🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
2026-01-19 22:20:57
11
leonidangwio
Leonida Ngwio :
kina naibu yesu wanaona mavazi tu 😂😂 hawaskizi hata maneno ya wimbo au midundo mitamu jamani 🤭😂
2026-01-24 15:22:17
8
astragalaxy590
Astra woods :
Hii uki panda key kidogo tu ita nasa😂😊
2026-01-19 20:41:08
5
godfrey.mwatila
Godfrey Mwatila :
Jaman 🙏 🙏 🙏 🙏, nyimbo ni tamu San eeeee Mungu "🙏🙏🙏
2026-01-19 16:24:03
7
moh7350
@blaze 🌈 🏳️‍🌈 😜 :
hawa ni wakatholic au wakrislamu ?
2026-01-21 11:41:43
8
emilianamlengule0
emilianamlengule0 :
mbarikiwe sana
2026-01-19 13:26:14
9
msaniimosho
msaniimosho :
bana wee...huu wimbo unagusa hadi maini na firigisi 😆😆😆😆...mtamu sana
2026-01-22 22:24:40
6
princejam_es
Prince_James🩵 :
Nata mtu atanisaidia na jina ya wimbo huwa inaimbwa "...tunapiga makofi, makofi tu." na huwa na same beats kama wimbo hii.
2026-01-31 07:18:27
6
malkiamkuta0
Malkia mkuta :
🥰🥰🥰 🙏mbalikiwe mmejua kubaluza
2026-01-19 18:22:43
5
babanaila01
It's just Life 👐🏽 :
congratulations 👏🏽👏🏽
2026-01-19 15:44:24
5
danique758
DANIQUE 🩷 MONSCE 🇸🇸 🩷🩷 :
siku yangu ya kwanza kuuskiza huu wimbo,Daah umenivutia Wacha niutafute🥰🥰
2026-01-19 21:12:28
6
To see more videos from user @kalist.kadafa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About