nimekuwa nikismama pekee sikuzote😭 Ila nimekuwa nguzo ya watu wengi lakin naishia kuumia tu😭 nafanyia watu vitu ambavyo mwenyew sijawah kufanyiwa namwisho naishia dharau but Asante mungu😭
2026-01-19 15:36:01
263
golder :
mbona nalia🥺🥺sioni wema nilioutenda ukinirudia🥺
2026-01-19 12:22:46
106
SiR More Rah :
Mimi nimevusha watu wengi sana mwisho wameniaribia jina kila kona 🥺🥺😢 Uzuri vita zangu Napiganiwa na Mungu
2026-01-19 17:38:11
42
🦀 Dorkasi♋ :
MUNGU naomba unikumbushe wema
2026-01-19 09:55:34
88
MASTER K2 MOTO :
Ni ukweli sana 💯 %
2026-01-19 19:55:17
9
leyla suley :
ni kweli kabisa
2026-01-21 05:16:53
6
karambu yule mpole :
I can't mention all of them I always pray for them
2026-01-19 20:47:33
6
engineer mazo :
kweli kaka 🤣🤣
2026-01-19 21:27:22
6
Alice nazi :
ukweli bro 🙏🙏🙏🙏
2026-01-19 22:54:15
11
V madin 💎 👌✨ :
Nikweli🙏
2026-01-19 22:00:55
7
Lissa collection🛍🌸 :
amen
2026-01-19 20:37:59
6
FATU :
ile ni kweli kbs
2026-01-19 19:43:51
5
Mo. Elliana🌹 :
Sante MUNGU naomb uzidi kuwarinda mama angu kipenz, dada angu kipenz, kaka angu idrisa na baba angu angu❤🙏
2026-01-21 13:22:58
7
ya hana :
address
2026-01-20 11:52:34
6
Tito Erenest :
🙏mungu endelea kunipa moyo wakuwainua wengne japo wanaishia kuniumiza tu ila sjawah kukata tamaaa kusaidia wengne
2026-01-22 19:44:55
7
Brightone Dah Prince :
aliyesimama na mmi kwa mapito yangu ni mama yangu mzazi
2026-01-19 20:49:52
5
Maggie_luxe♥️ :
Mungu naomba uwalinde Na uwabariki zaidi walio simama Na Mimi 🙏
2026-01-19 17:37:54
8
jecintaatieno :
amen 🙏🙏
2026-01-19 21:18:56
5
Jakobet dichol 🎗️🎗️🎗️👒 :
May I always remember people who held my hands in my life at any point.
2026-01-20 00:02:47
8
Rahma Ramadhan19 :
Bora waende baada ya kuwasaidia kuliko wakabaki na wakatuumiza zaidi na kulia kwasababu Yao 😔
2026-01-19 15:49:42
22
Binti wa mfalme😇💃🥳 :
Binadamu usahau kwa haraka
2026-01-20 11:48:14
16
iem niysat ♥️😍 :
nimeliw sana 😭😭 umeongea fact sana kaka yangu 😥 but nikikumbuka aliyenisaidia kwa kadri ya uwezo wake...alinitaka kimapenzi😭😭 nilipogoma aliniblock ..sasaiv nimefanikiwa natamani nimludishie fadhila coz alinisimamia usiku na mchana ili nifanikiwe...nifanyj mie 😥😥
2026-01-19 17:43:01
17
MRS RJ :
Anakumbia mwanzo ni mwanzo kama ulifnya hajui anangalia ulicho Fanya mwisho Ndio hicho hicho😌😌 wana umiza san
2026-01-19 21:03:39
5
edilove :
Mungu nikumbushe kama yupo niliyesahau fadhali zake
2026-01-19 16:00:48
5
Sumaiyya Mohammed :
Bro perfect but wachache sana wenye moyo
2026-01-19 21:29:45
5
To see more videos from user @professor_nkwela27, please go to the Tikwm
homepage.