@riyadhatv: Tunahuzuni kuwatangazia Kifo Cha Ustadh AbdaLLah Mbwana. Ustadh Wetu huyu amekua mwenye msaada mkubwa kwa miji mingi ya kiislamu ikiwemo mji wetu wa Majengo, na pia kutofautiana kwetu kwa madhehebu hakukumzuia kutuunga mkono katika mambo ya kuendeleza Ummah na kuhudhuria Hafla za kushajiisha watoto wetu pamoja na mazishi ya ndugu na Jamaa. Tunamuomba Allah amtaqabalie kheri zake, amghufirie mapungufu yake na amjaalie Jannah iwe ndio mashukio Yake. إنا لله وإنا إليه راجعون.

Riyadha Tv Kenya
Riyadha Tv Kenya
Open In TikTok:
Region: KE
Monday 19 January 2026 13:22:29 GMT
138507
9443
225
312

Music

Download

Comments

khadijaifran7
khadija ifran :
Moja katika alama za mtu mwema Ni watu amboa wanazindikiza jeneza ama kweli alikua mtu mwema kulingana na watu walivyo kuwa wengi
2026-01-19 14:29:08
75
eysha..neer0
eysha..neer0 :
Innalillah waina illah raj’un 😭😭💔may Allah forgive all his shortcomings and make it easy in his grave may he be one of people in the Jannah Ameen yarab 🤲🏼😣💔
2026-01-19 16:58:47
48
mtupesa354
S :
its still very painful for me wallahi just 2 weeks ago during Sh.Mohammed suleiman 's jannaza he stood in the same MIMBAR😞😞😞 He's speech that day was so educative wallahi.i was amongst the listeners 💔 😭😭😭😭😭😢 Allah ampee janaa kama makazi yake sheik😢😭 Wangu...
2026-01-20 19:03:41
4
rawahafragnance
Rawaha Oud :
maskini ustadh sagaff amehuzunika 😭😭😭
2026-01-19 16:10:00
14
shimpalady
shimpalady :
Allah amutilie Noor kabr yke n cc atupe mwisho mwema 👏
2026-01-19 19:15:56
12
uswahjeizan
Uswah Jeizan :
Pole ustadh sagaf..poleni tupoe sote Allah ampe ustadh Abdallah kauli thabit amuweke pema penye mewa na sisi Allah atupe mwisho mema
2026-01-19 20:14:01
22
saidi.mohammed96
Saidi Mohammed :
Inna Lillah wanna ilayhi raajiun
2026-01-21 16:14:26
3
zanladytourguide
mamy :
nimehuzunika kwa kifo chake 😢lakn nimefurah kuona mja huyu anaend pepon 🥰 mashaallah tabarakallah ya Allah na sisi tujaalie mwisho mwema😢
2026-01-19 18:01:30
5
moha24771
moha :
Mwenyezi Mungu Wetu tafadhali Msamehe Mjaa Wako Ameen.
2026-01-19 20:11:52
2
markaboissack
Ashley mallo🥰🥰🥰 :
InalilahiWaina illehi rajuun may Allah grant him jannah
2026-01-20 17:43:22
1
habibtyyaghali
🎀🎀𝐀𝐬𝐦𝐚𝐚𝐡 𝐀𝐦𝐛𝐞𝐫✨🖤 :
Inalillahi waina ileihi rajiun 😭 Allah amlaze pema penye wema amghufirie dhambi zake na amjaalie pepo ya Firdaus iwe makazi yake 🤲
2026-01-19 15:26:38
14
user7183697261527
bashal :
mungu amrehemu amueke pema na wema ustadh wetu
2026-01-19 16:47:19
3
fuad1392_
Klik klak :
Allah amrehemu Ustadh Mbwana.
2026-01-19 23:07:59
1
habibamaya27
Mayah :
innalilahi waina ilahi rajiun 😢
2026-01-20 17:19:41
1
ummilham1
Lovedagain :
My ustadh growing up at Madrasa Tawhid California, انا لله وانا إليه راجعون
2026-01-20 09:36:04
1
fshery7
mum9 :
Innalillahi wainna illahi rajiun... Allah amlaze pema penye wema🤲🤲yeye mbele sisi nyuma😭😭😭Allah atujaalie mwisho mwema😭
2026-01-20 02:42:26
2
hawah959hawa
Hawa Hangana :
Allahuma Warhamu Masqana Fil Jannah Ustadh wangu,😭😭💔
2026-01-19 16:54:57
3
ummuhkibz001
~ummuhkibz001 :
khusnul khatimah ya rabb
2026-01-19 17:54:46
2
user36238685522690
Asia :
innalillahi wainna ilayhi rajiun 😭😭😭
2026-01-19 19:12:47
1
user2539584632354
mariam :
Allah ampe jannatul fridaus na Sisi atusamee makosa yetu na atupe mwisho mwema 🤲
2026-01-19 20:10:24
1
mwanaidi.juma538
❣️روح حلوة :
innalilahi wa inna ileyhi rajiun
2026-01-19 18:21:33
1
maimuana254
ummu miqdad :
innalillahi wainnah ileihiraajiun😭😭😭
2026-01-19 18:12:01
1
To see more videos from user @riyadhatv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About