@dongbillionair2: “Ukweli mchungu kwa vijana wezangu: mafanikio hayazaliwi kwenye mazingira yanayokuzoesha kushindwa. Kama hapo ulipo hakuna ndoto, hakuna mwelekeo, hakuna motisha—ondoka. Badilisha mazingira, badilisha marafiki, badilisha mawazo. Simba hakui kwenye banda la mbuzi. Ukihitaji mafanikio, chagua safari ngumu kuliko starehe ya kukaa ulipozaliwa.” 💯🔥#goviral #trendingvideo #foryou #fyppppppppppppppppppppppp #trending