@dk.sulle: #canada #ai #ai #congo

DK.SULLE
DK.SULLE
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 19 January 2026 20:21:17 GMT
122107
5501
186
146

Music

Download

Comments

ramsey_platfomzbackup
R.A.H.I.M 🫡☄️ :
kweli bhna team Aries ♈ oyee
2026-01-22 18:45:12
117
edwardkimangila
edwardkimangila :
Duh sasa mbona tunachapika mpaka chweee
2026-01-20 08:50:19
31
ritashayo
fantashayo :
ila ni wachoyo🤣🤣🤣
2026-01-20 18:31:48
5
being_pretti3
🎀MSICHANA🎀 :
Tuna roho nzuri mpaka zinatuponza 😩😂
2026-02-16 07:22:30
7
abduly.kidary
Abduly kidary :
umimi ndo ufunguo wa mambo ARISE wote like 👍 apa
2026-02-11 13:14:23
18
nanadully
MayraHijabQueen :
Weeeeeeeee nyota inatubamiza vibaya sana vibaya saaana 🥺🥺🥺
2026-01-20 13:20:45
4
pipi_love
Pipi love♈️ :
Mbona hatyna hayo mafanikio jmn🤓😂
2026-01-20 20:24:52
6
misszammy19
😘miss zammy😘 :
Na nyota ya simba ikoje?😌
2026-01-22 21:20:13
2
lizy.chala.mila
Lizy Chala Mila :
sema kinachotuponza wema wetu
2026-02-16 11:50:25
5
little.angel0214
🦋Mars💓 :
mbona tupo tunateseka saaan💔
2026-03-01 06:37:14
2
jenjuma668
Jen Juma :
vile nateseka jamn ndiyo maan napigwa vita nyumbani kila Kona wachwi wananiandama vibaya sana
2026-01-22 04:05:47
7
user7302728684551
QueenEsther :
baba mm ninyota yapunda ila Sina kitu napanga plan zinagoma maisha nimagumu nisaidie plz
2026-02-12 18:03:28
1
mslydiakalawa
Lyidia :
unawezaje kujua nyota yako naomba maelekezo
2026-02-15 10:56:56
0
kilendo33
Teacher kilendo :
sheikh nifanye nini ili niishi katika nyota yangu maan napitiaa nyakati ngumu San kwenye utafurahi wangu
2026-01-20 16:51:39
4
user5650383087319
Athman Ochu.. :
mbona 2natexeka xana
2026-03-05 07:27:44
1
josphine8730
josphine🥰 :
amen
2026-04-05 16:06:42
1
africangirl502
butterfly 🦋 :
me nakosea wapi mbn yangu ni mizigo tyu😳
2026-02-27 23:52:20
2
user612523350
Annycute :
ila mapenzi ziro wanamapuuza
2026-02-26 15:51:41
1
shebe.wetu
Shebe Wetu :
Nahii nyota wallai acha tu,hadi najipata nasaidia misikule
2026-02-13 14:14:52
1
yusufunyamka
YuSkOdArA :
aaah mbona mi cna jamani
2026-02-19 09:45:14
1
nicameat
Nica Meat :
sas kwann hatuna mafanyikio
2026-02-16 07:18:49
1
aries_21st_march
Aries 21st March. :
Am king ♈️
2026-02-13 21:01:16
1
aries110484
aries ♈ :
Fact
2026-02-07 08:41:08
1
rukia.robert
Rukia Robert :
asante shee ila tunachukiwa Sana sijui kwanini ila ss tunauluma na upendo sana
2026-02-20 17:21:32
1
s..sakilo
S. Sakilo :
Mafanikio ya vp? maana mi ni nyota ya Punda ila hadi sasa sina mafanikio kimaisha bado sana😭. Mungu tu anisaidie
2026-02-14 14:50:52
1
To see more videos from user @dk.sulle, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About