@zahmid_tz: Kuwa na wivu kwa unaye mpenda sio kuendekeza mapenzi bali ndio ladha yenyew ya kupenda, muonee wivu unayempenda uongeze ladha ya kupenda.. Mzungumzaji:Sheikh Othman maalim ⭐️Follow ili ufahamu uislamu wako kupitia mawaidha, nasaha, darsa, Qur’an na hekima mbali mbali. #uislamu #islamicpost#mawaidha#islamicvideo#islam ⭐️FOLLOW ⭐️ @islamic_halawah @zahmid_tv @nuru_ya_peponi @zahmid_tv @islamic_rihla