@ounie00: “Best sunscreen for acne and dark spots explained” Skipping sunscreen makes hyperpigmentation darker and acne scars last longer. #skintok #glowingskin #darkspots #acnescars #hyperpigmentation @Kenny Na vipodozi 📞 +255 752 288 541
hii sunscreen imenitendea maajabu🥂 i highly recommend it 🥰
2026-01-21 07:03:04
33
Angel :
yani kaka ume glow kuliko ata mim mdada 🥰
2026-01-20 09:52:21
30
DEBBY BEAUTY :
huyu ni mwanaume🤣
2026-02-11 01:10:27
20
Naanyu 🤍 :
Natumia nivea sunscreen ata usugue aje utabaki whitecast
2026-01-22 05:34:27
3
.finest01 :
Jina ya sunscreen please
2026-04-29 08:30:38
0
Niphat uk :
inasaidia nn kwani kwenye ngozi
2026-01-21 16:30:33
2
adacha :
siku nikiwa hv usoni, hawatapumua 😂😂
2026-01-20 20:01:15
2
angel :
mm napk kidog km ninavyopak face cream
2026-01-20 09:32:45
1
Official Juju Tz :
me napaka peke akee ngozi imekauka sana inatoka magambaa😥
2026-01-22 17:17:17
2
Lolo Beauty79🌸 :
Nzur sana ndio natumia wakat wote
2026-01-20 08:51:35
3
ms rene🥰 :
imagine mkaka anaglow hivi halafu kuna Mimi hapa wa jamaa na parachute 😩😂😂😂
2026-01-22 09:56:13
1
Dee🦀 :
unapaka baada ya face cream au kabla ya kupaka chochote
2026-01-21 12:06:52
2
Nancy 🇰🇪 :
Kaa ukijua mvua inanyesha huku ushago utume pesa za mahindi na mbolea ndo Dec ikifika ubebe mahindi
2026-02-22 19:44:06
4
œfficial phįn̈æ :
anatumia hata mwenye uso wa mafuta???
2026-01-20 22:03:58
0
Marlboro :
mimi nimetumia imenizidisha mapele usoni....wawezanisaidia juu ha Hilo.... please 🙏
2026-06-08 09:20:08
1
Joseph D'Arcy :
vipi kama mtu una sweat sana
2026-01-20 19:35:56
0
zay mapozi :
Una ngozi nzuri jmn
2026-01-23 14:26:28
0
tabrinaone :
Iyoo hela ya kununua sun screen kila wiki naitoa wapi?
2026-01-21 10:59:35
1
willy_violin :
20/20 nalipaaa🔥🔥
2026-01-20 15:55:31
2
pinkie botanical solution 🌿 :
Hello wapendwa wanawake wenzangu kama unachangamoto ya fungus sugu, pid,hormonal imbalance, kutopata hedhi,kutopata ujauzito kukosa ute na hamu ya tendo nina dawa nzur ya asili imethibitishwa na kutengenezwa kwa ustad pia natoa ushaur free kbsa nicheki tsup 0789161148 karibuni sana my loves
2026-01-20 10:52:36
1
semphile :
Bora umetufundisha mm nilikua napaka muda ninaotoka kumbe sio
2026-01-22 10:09:37
0
Mama Liam🥰😻 :
Mko na kazi huku nje😂😂😂
2026-02-25 16:21:06
2
Liza :
natangulia mafuta ya kawaida kwanza ama ni hiyo tu juu sielewi na mm jua kali nisaidie nijue pls
2026-01-23 18:04:44
1
cheche :
uko nchi gani🥰🥰
2026-02-23 18:41:51
1
To see more videos from user @ounie00, please go to the Tikwm
homepage.