@imaniericshoo: Mungu huruhusu majaribu kwenye maisha yetu sio ili kutuangamiza, lakini kutujenga tuwe watu bora zaidi, tumfananie Kristo🙌🏼 Yakobo 1:2-3 [2]Ndugu zangu, hesabuni ya kuwa ni furaha tupu, mkiangukia katika majaribu mbalimbali; [3]mkifahamu ya kuwa kujaribiwa kwa imani yenu huleta saburi. Hivyo furaha ya BWANA itaendelea kuwa nguvu zetu kila wakati, tena itakuwa amani ya mioyo yetu, hivyo HATUTATETEREKA wala HATUTAOGOPA. #sitatetereka 28th, next Wednesday🔥 #SitateterekaChallenge #usethissound #newsong #trendingvideo